12
Selena Gomez Achumbiwa Na Benny Blanco
Mwanamuziki wa Marekani Selena Gomez na Mpenzi wake Benny Blanco wametangaza kuchumbiana baada ya kuwa kwenye mahusiano kwa zaidi ya mwaka mmoja.Selena Gomezi mwenye umri wa m...
29
Mfahamu kikongwe anayetibu na kusafisha macho kwa ulimi
Na Asma Hamis Wakati baadhi ya watu wakienda kwenye vituo vya huduma za afya kupatiwa matibabu ya macho pale yanapopata matatizo, hiyo ni tofauti katika kijiji cha Crnjev...
06
Ten Hag ana mechi mbili tu Man United
Mchezaji wa zamani wa Newcastle United na timu ya taifa ya England, Alan Shearer amesema kocha wa Manchester United, Erik ten Hag ana michezo miwili pekee ya kuokoa kibarua ch...
21
Kikongwe zaidi duniani apoteza maisha
Mwanamke aitwaye Maria Branyas Morera kutoka Hispania ambaye alikua akishikiria rekodi ya dunia ya ‘Guinness World Records’ kuwa binadamu mzee zaidi amefariki akiw...
21
Selena Gomez achumbiwa na Blanco
Picha za mwanamuziki na mwigizaji wa Marekani Selena Gomez zimezua maswali kwa mashabiki wakiuliza kama msanii huyo amechumbiwa na mpenzi wake Benny Blanco.Maswali hayo yameku...
14
Mandojo kuzikwa leo saa 10 jioni
Mfanyabiashara na msanii Joseph Francis, maarufu Mandojo anatarajiwa kuzikwa leo Jumatano Agosti 14, 2024 saa 10 jioni wilayani Manyoni, Mkoa wa Singida.Kutokana na ratiba ili...
09
Magoma akwaa kisiki kesi dhidi ya Yanga, aamriwa kulipa gharama
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeruhusu Klabu ya Dar es Salaam Young Africans Sports kufanya mapitio ya marejeo ya shauri la madai namba 187/2022 lililofunguliwa na Juma Mag...
07
Harmonize na Libianca kwenye ngoma moja
Mkali wa Bongo Fleva, Rajab Kahali, ‘Harmonize’ yupo mbioni kuachia video ya ‘Side Niggah’ remix aliyomshirikisha mwanamuziki kutoka Cameroon Libianca ...
07
Baby Shark Dance ndiyo wimbo unaongoza kwa watazamaji YouTube
Katika enzi hizi za kidijitali ambazo mitandao ya kijamii na majukwaa ya video yanachangia kwa kiasi kuburudisha jamii na kufurahia muziki, wimbo wa watoto "Baby Shark Dance" ...
01
Hatimaye Vybz Kartel aachiwa huru, washabiki wajitokeza gerezani kumpokea
Leo unaweza kuiita sikukuu kwa wapenzi wa muziki wa ‘Dancehall’ ambao kwa asili unatokea Nchi ya Jamaica, ambapo mkali...
20
Katazo wanamichezo wanawake kuvaa hijabu lazua mijadala
Ikiwa zimebaki siku chache kuanza kwa michuano ya Olimpiki nchini Ufaransa, uamuzi wa nchi hiyo kuzuia wanawake kuvaa hijabu katika michuano umezua mijadala na upinzani kutoka...
14
Francois Regis atajwa kuwa CEO mpya Simba
Uongozi wa Simba umefikia makubaliano ya kumwajiri Uwayezu Francois Regis raia wa Rwanda kuwa Ofisa Mtendaji Mkuu wa klabu hiyo, ili achukue nafasi ya Imani Kajula anayejianda...
13
Maokoto yanavyowafanya wasanii wa vichekesho kukimbilia YouTube
Siku za hivi karibuni huwenda mambo ni rahisi kwa wasanii wa vichekesho baada kuyakimbiza maudhui yako katika mitandao ya kijamii kama YouTube tofauti na ilivyokuwa zamani. Ak...
06
Masele: Mlevi akilewa anakosa balance ya nyuma
Mchekeshaji Chrispin Masele maarufu ‘Masele Chapombe’ amefunguka kuhusu yeye kuhusishwa kutumia vilevi kutokana na kuyumba pale anapoigiza ambapo amesema anaweza a...

Latest Post