Ukisikia cha kale dhahabu ndiyo hiki, kwa sasa kwenye sherehe kama vile harusi, 'Send Off' na 'Kitchen Party' siyo ajabu kusikia ngoma za zamani zikipigwa na wageni waalikwa w...
Mwanamke mmoja kutoka nchini Ghana aliyefahamika kwa jina la Artise Maame anajaribu kuweka rekodi ya dunia ya Guinness kwa kutafuna Bablishi (Big G) kwa muda mrefu.Imeripotiwa...
Promoter wa ndondi kutoka nchini #Uingereza, #FrankWarren amejaribu kumshawishi mchezaji wa #Alnassr, #CristianoRonaldo kwenda katika ‘klabu’ ya #Arsenal.Inaelezwa...
Bondia maarufu nchini Hassan Mwakinyo ambaye anatarajia kuingia ulingoni September 29, katika pambano la kuwania mkanda wa IBA Intercontinental dhidi ya Rayton Okwiri sasa ame...
Kampuni ya Neuralink inayomilikiwa na bilionea Elon Musk imepata kibali cha mamlaka ya chakula na dawa nchini Marekani (FDA) kufanya jaribio la kwanza kwa binadamu baada ya ku...
Ajali hiyo imetokea tabora mishale ya saa nane usiku wa kuamkia leo Aprili 27, 2023, Wilaya ya Uyui kata ya Kigwa wakati viongozi wa chadema wakielekea Kigoma kwa ajili ya maa...
Na Asha Charles
Takriban watu 30 wamejeruhiwa baada ya treni ya abiria kuacha njia magharibi mwa Uholanzi iliotokea siku ya jumanne.
Huduma za dharura zinasema ajali hiyo ilio...
Mkuu wa Shirika la afya duniani WHO, Tedros Adhanom Ghebreyesus amesema kuwa kliniki ya majaribio ya chanjo inayoweza kukabiliana na ugonjwa wa ebola inaweza kuanza kazi ndani...
Watu nane wamefariki dunia na wengine wamejeruhiwa katika ajali ya gari iliyotokea leo Agosti 16,2022 katika eneo ya Shamwengo, Inyala mkoani Mbeya. Kamanda wa Polisi mkoani ...