Mchekeshaji Nduttu ni mmoja kati ya waliokuwa wakiwania tuzo za ucheshi kupitia kipengele cha 'Best Upcoming Stand up Comedian of the year'. Kwenye tuzo za Tanzania Comedy Awa...
Zanzibar. Mwanamuziki mwenye asili ya Congo, Christian Bella, leo Februari 16,2025, amesema viongozi wa Afrika wanatakiwa kushikamana ili kulinda amani.Bella ameyasema hayo wa...
Mwenyekiti wa Bodi ya Sauti za Busara, Simai Mohammed Said, leo Februari 15, 2025 amefungua siku ya pili ya tamasha hilo katika viwanja vya Mji Mkongwe, Stone Town kisiwani Un...
Rapa The Game ameweka wazi kuwa Kanye West alimpatia zawadi ya gari zake mbili aina ya Mercedes-Maybach S680s za mwaka 2025.Game ameweka wazi kupitia ukurasa wake wa instagram...
Peter Akaro
Ni hivi karibuni zimetolewa tuzo za 67 za Grammy huko Marekani na kumshuhudia msanii wa Nigeria, Tems akishinda kipengele cha wasanii wa Afrika akiwa ni wa pili ku...
Kwa sasa si jambo la kushangaza tena nyimbo za wasanii wa Afrika kupenya kwenye chati maarufu duniani za Billboard na kuwafanya mastaa hao watambulike zaidi. Wapo waliofanya v...
Msanii wa Bongofleva Harmonize ametangaza kuachia wimbo Ijumaa hii ambao utakuwa maalumu kwa ajili ya kuwaimbia wapenzi wa zamani.Katika wimbo huo amesema anaomba mashabiki za...
Msanii Whozu amejitoa kwenye record label ya Too Much Money na sasa ni msanii anayejitegemea.Kupitia ukurasa wake wa Instagram Whozu ameweka taarifa rasmi ya kuondoka kwenye l...
Alikiba ameweka rekodi ya kuwa msanii wa kwanza ambae sio Mnigeria kushinda Tuzo ya NXT Honours Life Time Archievement Award (Tuzo ya mafanikio ya maisha Afrika) ambapo kwa mi...
African Giant albamu kutoka kwa Burna Boy bado inasumbua kwenye kiwanda cha muziki Afrika baada ya kuweka rekodi mpya ya kuwa album ambayo imesikilizwa zaidi kwenye kwenye mta...
Usiku wa kuamkia leo Desemba 15, 2024 mitandao ya kijamii imechafuka picha na video za mwanamuziki wa Marekani Chris Brown, kufuatia onesho alilofanya Afrika Kusini kujaza uwa...
Fashion na mitindo ni miongoni mwa tasnia pendwa ulimwenguni, ingawa katika baadhi ya maeneo bado haijapewa kipaumbele. Licha ya hayo haijawa sababu ya tasnia hiyo kuacha kuza...
Wataalamu wa utafiti, mkakati na data ‘Statista’ wametoa orodha ya nchi zinazozalisha filamu huku nchi ya Tanzania ikishika namba nne kati ya nchi 10 barani Afrika...
Ikiwa leo ni siku ya kumbukizi ya kuzaliwa kwa mwanamuziki Zuchu akitimiza miaka 31 yapo mengi ambayo yamemgusa katika tasnia yake, lakini kwa kawaida mambo haya mawili tunawe...