06
Diamond: Nilifunga Ndoa Bila Kumwambia Mama
Mwanamuziki wa Bongo Fleva nchini Diamond Platnumz ameweka wazi namna alivyofunga ndoa na msanii wake Zuchu bila kushirikisha familia yake akiwemo mama yake mzazi.Wakati alipo...
06
Siku zangu 100 za kwanza Mkurugenzi Mtendaji wa MCL
Na Rosalynn Mndolwa - MworiaIlikuwa jioni ya Jumatatu, Aprili 28, 2025 katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam. Ukumbi ulijaa viongozi wa juu wa Nation Media Group na Mwa...
06
Ugumu anaokutana nao Tabu, kuigiza bubu
Mwigizaji anayetamba katika tamthilia ya ‘Kombolela’ Happy Swebe maarufu kama ‘Tabu wa Kombolela’ amefunguka ugumu anaopitia katika uhusika wake wa bub...
06
Wanachelewa Kumpa Kontawa Maua Yake
Moja ya kitu ambacho kimekuwa kigumu kukipata kwa rapa wengi wa sasa ni kuchana mitindo huru 'Freestyle'. Hii ni mistari ambayo inashushwa moja kwa moja bila kuandik...
06
Mike Tyson Kuchora Tattoo Usoni Sababu Ni Hii
Bondia maarufu duniani, Mike Tyson ambaye anatambulika pia kutokana na tattoo kubwa aliyonayo upande wa kushoto wa uso wake. Anadai halikuwa wazo lake kuchora tattoo ya namna ...
05
Hii Ndiyo Sababu, Foby Kuangua Kilio Mechi Ya Stars
Ni wazi kuwa mtanange wa Mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wa Ndani (CHAN) 2024, unaendelea kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa Dar es Salaam.Licha ya mashind...
05
Maua Sama Ampa Mwana-Fa Kila Kitu
Unaambiwa sio lazima ila ni muhimu kulipa fadhila kwa mtu aliyekusaidia na kukushika mkono kabla hujajipata. Hicho ndicho amekifanya msanii wa Bongo Fleva, Maua Sama kwa msani...
05
Kwa Mara Ya Tano, Diddy Akataliwa Dhamana
Jaji wa shirikisho Arun Subramanian amekataa ombi la dhamana la Sean "Diddy" Combs katika uamuzi mpya uliotolewa mapema jana Jumatatu, Agosti 4,2025.Hii inakuwa mara ya tano k...
04
Muda siyo rafiki kwa Chama
Kaondoka Chama. Kwenye nyoyo za wana Simba na wana Yanga. Sio yule aliyewaendesha atakavyo kwa pasi zenye macho. Utulivu langoni kwa adui. Na kuburuza mabeki kama viroba vya m...
04
Tuongee kishkaji: Makuzi ya wasanii yanakata stimu
Kwenye kijiji fulani alikuwepo chalii mmoja hivi kazi yake ilikuwa ni kuchunga kondoo. Anatoka nyumbani asubuhi na mamia ya kondoo na kwenda nao porini kuwalisha. Anakaa ...
04
Kumi kali za Abigail Chams
Hakuna ubishi kuwa Abigail Chams ni miongoni mwa wanamuziki wachache Bongo waliobarikiwa vitu vingi, ana sauti nzuri na melodi tamu, uandishi bora, anajua kupiga vyombo v...
02
Utafiti: Asilimia 50 Ya Wanawake Wanamichepuko
Kwa mujibu wa utafiti uliyofanywa na jukwaa la mahusiano la OnePull, umebaini kuwa asilimia 50 ya wanawake ambao wapo kwenye ndoa au mahusiano wanadaiwa kuwa na wapenzi wa aki...
02
Albamu, Ep Zinavyompa Rayvanny Upekee
Staa wa Bongofleva kutokea Next Level Music (NLM), Rayvanny katika kipindi cha miaka tisa ya umaarufu wake kimuziki, amefanikiwa kutoa Extended Playlist (EP) tano pamoja na al...
02
Zuchu Na Ujumbe Huu Kwa Mashabiki Wanaomkosoa
Baada ya mwanamuziki Zuchu kuachia ngoma yake mpya iitwayo ‘Amanda’ ambayo haijapokelewa vizuri na baadhi ya mashabiki wakiunanga kuwa wimbo huo ni mbaya, hayimaye...

Latest Post