Baada ya mwanamuziki na mfanyabiashara Kanye West kumuomba Rais wa Marekani Donald Trump amuachie huru Diddy, sasa amekuja kivingine ambapo ameripotiwa kuingiza sokoni tisheti...
Wanamuziki wa Bongo Fleva nchini Diamond Platnumz na Zuchu huwenda wakawa wamemaliza tofauti zao, hii ni baada ya wawili hao kuonekana kuwa karibu zaidi siku ya jana Februari ...
Apple, SpaceX, na T-Mobile wameungana katika ushirikiano wa kimkakati ili kuboresha mawasiliano kwa watumiaji wa iPhone.Kupitia ushirikiano huu, iPhone zenye toleo jipya la pr...
Mwanamuziki wa Bongo Fleva nchini Jux amefunga ndoa na mpenzi wake mfanyabiashara kutoka Nigeria Priscilia leo Februari 7,2025.Taarifa ya ndoa ya wawili hao imetolewa na baadh...
Mwanamuziki Ayra Starr amezua mijadala kwenye mitandao ya kijamii baada ya kuchapisha video katika ukurasa wake wa TikTok akicheza wimbo mpya wa Naira Marley uitwao ‘Pxy...
Marehemu Tupac Shakur ni moja kati ya wasanii maarufu wa hip-hop duniani waliofanya makubwa katika tasnia ya muziki. Lakini licha ya umaarufu wake na mafanikio kedekede msanii...
Na Michael Anderson
Je ungekuwa huogopi ungefanya nini ili uboreshe maisha yako? Unataraji hofu na uoga kukupa unachotaka maishani?
Je unajua unapaswa ufanye nini ili uw...
Uongozi ni wito na watu husema hakuna kazi ngumu kama kumuongoza binadamu. Kwa kulitambua hilo kwenye Segment ya Kazi tumeangazia mambo ya kuzingatia unapopata uongozi kazini....
Je unapenda kuvaa kofia?. Fashion ya Mwananchi Scoop wiki hii imekuletea vitu vya kuzingatia unapotaka kununua kofia. Fuatilia
Umbo la Kichwa, kofia inapaswa kuwa na ukubwa u...
Kwa kawaida watu wengi wanafahamu kuwa nyanya ni kiungo ambacho kinatumika katika kuungia mboga lakini pia ni tunda ambalo baadhi ya watu hupendelea kulila bila kufahamu unawe...
Mwigizaji wa Marekani Angelina Jolie alikiri kwamba alikua akivuta sigara pakiti mbili kwa siku kabla ya kuanza mazoezi ya kujiandaa kwa na filamu ya Tomb Raider. Wakati wa ma...
Waandaaji wa mashindano ya Miss Côte d'Ivoire ‘Ivory Coast’ wameanzisha sera mpya kwa washiriki wa shindano hilo kutotumia nywele za bandia (mawigi) wakati w...
Shirika la kupambana na matatizo ya Moyo Marekani (AHA) limetumia nyimbo za wasanii kama Kendrick Lamar na Beyonce ili kuhamasisha umma mbinu za kuokoa maisha ya watu kupitia ...
Mwanamuziki na mfanyabiashara wa Marekani Kanye West amemuomba Rais wa nchi hiyo Donald Trump kumuachie huru mkali wa hip-hip Diddy Combs anayekabiliwa na tuhuma za unyanyasaj...