27
Mshukiwa wa mauaji ya Tupac aomba kuachiwa huru
Mshukiwa wa mauaji ya ‘rapa’ kutoka Marekani Tupac Shakur, Duane “Keefe D” Davis, amewasilisha ombi la kuachiwa huru kutokana na kusumbuliwa na ugonjwa...
17
Utafiti: aliyeishi chini ya maji siku 100 hatozeeka mapema
Alievunja rekodi kwa kukaa chini ya maji kwa muda mrefu Dk. Joseph Dituri anadaiwa kuwa kukaa kwake chini ya maji kumemsababisha kutozeeka mapema.Uchunguzi uliofanywa wakati a...
03
Bwana harusi asimulia tukio la moto ukumbini, Mkewe akata kauli
Kufuatia tukio la zaidi ya watu 100 kufariki katika sherehe ya harusi na wengine zaidi ya 150 baada ya moto kuwaka kwenye ukumbi wa harusi hiyo, katika wilaya ya Al-Hamdaniya ...
27
Harusi yaingia doa, Moto waua watu 100 ukumbini
Inadaiwa takribani watu 100 wamefariki na wengine zaidi ya 150 kujeruhiwa baada ya moto mkubwa kutokea ukumbini wakati wa sherehe ya harusi katika Wilaya ya Al-Hamdaniya nchin...
28
Wafungwa 100 waachiwa huru, Sudan
Kundi la wanamgambo la Rapid Support Forces (RSF) la nchini Sudan limetangaza kuwaachia huru wafungwa 100 wa vita ikiwa ni sehemu ya kusherehekea sikukuu ya Eid el Haji. Kund...
03
Watu 109 wamefariki kutokana na maporomoko Rwanda
Shirika la habari la serikali nchini Rwanda limeripoti kwamba watu 109 wamefariki kutokana na maporomoko ya ardhi huko Mahgaribi na Kaskazini mwa Rwanda. Maporomoko hayo ni ku...
10
Tani 100 za mahindi ya ruzuku kukabili baa la njaa Singida
Mahindi hayo yanatarajiwa kuuzwa kwa bei ya Tsh. 830 kwa Kilo, kwa Wananchi katika Vijiji vya Wilaya ya Ikungi waliokumbwa na uhaba wa Chakula kutokana na kupata Mavuno kidogo...
25
Julia Fox: Kumiliki Pochi ya Milioni 100 ni Stress
Aisee moja kati ya stori ambayo imezua gumzo mitandaoni ni hii inayomuhusu Mwigizaji Julia Fox ambaye anaendelea kuwa maarufu zaidi baada ya kuwa kwenye mahusiano na Kanye Wes...

Latest Post