Kupanga ni kuchagua hivi ndivyo unaweza sema kwa mwigizaji maarufu wa Marekani, Morgan Freeman, ambaye amechagua hereni zake kuwa msaada siku akifariki dunia. Katika kuchagua ...
Baada ya kusubiliwa kwa hamu orodha ya ngoma zilizopo kwenye albumu ya mwanamuziki Marioo, hatimaye orodha hiyo imeachiwa rasmi huku mwanamuziki wa Nigeria Patoranking akiwa n...
Kawaida imezoeleka masaji hufanywa taratibu kwa lengo la kuondoa uchovu,lakini hilo ni tofauti kwa masaji ya kichwa ambayo inafanyika kwa muhusika kupigwa makofi kichwani.Mako...
Baada ya mwanamuziki wa Bongo Fleva nchini Diamond kutochaguliwa kuwania tuzo za Grammy, hatimaye msanii huyo amefunguka kwa mara ya kwanza akieleza kuwa atarudia tena huku ak...
Kutokana na sanaa ya upishi kuwa miongoni mwa mambo yanayoweza kukuza na kuendeleza utamaduni, utalii, na uchumi. Kufuatia madhimisho ya msimu wa tisa wa wiki ya Vyakula vya K...
Jeshi la Polisi linawashikilia kwa mahojiano ya kina Diva Malinzi (36) na Jenifer Jovin (25) maarufu Niffer kwa tuhuma za kuchangisha fedha kwa ajili ya walioporomokewa na gho...
Tasnia ya muziki wa Bongo Fleva imejaa vipaji vingi kutoka kwa wasanii tofauti tofauti, ambao kila mmoja alifanikiwa kutoka kwa wakati wake. Katika hao wapo ambao walianza muz...
Mwanamuziki wa nyimbo za injili nchini Joel Lwaga ameendelea kuonesha ubabe wake kwenye mtandao wa kusikiliza muziki wa Apple Music kwa kuendelea kushika namba moja kwa wiki t...
Jeshi la Polisi limemsafirisha kwenda jijini Dar es Salaam mfanyabiashara wa mtandaoni, Jenifer Jovin maarufu Niffer baada ya kujisalimisha polisi jana.Mfanyabiashara huyo ali...
King Kikii ambaye alifariki dunia usiku wa kuamkia Novemba 15,2024, nyumbani kwake Mtoni Kwa Aziz Ally jijini Dar es Salaam kwa ugonjwa wa saratani ya ini. Mwili wake unaagwa ...
Mbali na sanaa, kitu kingine msanii anachouza kwa hadhira yake ni mtindo wake wa maisha, na hapa ndipo mashabiki wengi hupenda kuliko hata zile kazi za msanii husika kitu amba...
Mwigizaji wa Bongo Movie Fredy Kiluswa amefariki dunia leo Novemba 16,2024 akipatiwa matibabu katika hospitali ya rufaa Mloganzila.Taarifa hiyo imethibitishwa na mwigizaji mwe...