Mkali wa hip-hop na mfanyabiashara kutoka Marekani, Sean “Diddy” Combs (55), ameiomba mahakama imwachie kwa dhamana ya dola milioni 50 pamoja na bondi ya nyumba ya...
Mkali wa Afrobeats kutoka Nigeria, Innocent Ujah Idibia maarufu kama 2Baba, ameripotiwa kufunga ndoa ya kimila na mpenzi wake mpya aitwaye Natasha Osawaru, sherehe ambayo ilif...
Ni takribani miezi kadhaa tangu mtengenezaji maudhui mtandaoni na mfanyabiashara Dotto Magari kumtambulisha msanii wake, Dogo Rema ambaye amekuwa gumzo katika mitandao ya kija...
Michael Jordan, si jina geni masikioni mwa wengi. Hii ni kutokana na umahiri wake katika mchezo wa mpira wa kikapu NBA. Licha ya jina lake kuwa maarufu, wengi hawajui kuhusu s...
Baadhi ya wasanii nchini waliochukua fomu kugombea majimbo mbalimbali wamewekwa kando na Kamati Kuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) huku wengine wakichekelea kupenya hatua inayof...
Kati ya maswali yaliyopo kwenye vichwa vya baadhi ya wadau wa muziki nchini ni sintofahamu ya uwepo wa Tuzo za Muziki Tanzania 'TMA' kwa mwaka 2025.Hii ni baada ya w...
Moja ya vitu vinavyowavutia watazamaji wa filamu za Kihindi ni zile nyimbo ‘Masongi’, ambayo husikika katika filamu hizo zikionesha waigizaji wakiimba.Licha ya baa...
Nguli wa muziki wa Bongo Fleva, Mr Blue hatimaye ameshinda tuzo ya kwanza tangu alipoanza kujishughulisha na muziki 2003.Mkongwe huyo wa Bongo Fleva ameshinda tuzo hiyo ya Ent...
Msanii wa Singeli nchini, Msaga Sumu amesema hali yake inaendelea vizuri, kufuatia ajari ya gari aliyopata wakati akitokea Namtumbo mkoani Ruvuma alipokwenda kutumbuiza kwenye...
“Marioo anatamba ndani tu, haendi kimataifa.” Hiyo ndio fimbo tunayomchapia mdogo wetu, mshikaji wetu, Toto Badi a.k.a Marioo.Na tunaposema hivyo tunamaanisha kwam...
'255 Champion Boy' Mbwana Samatta, hakupewa sapoti ya kutosha na wadau. Wachache walisapoti harakati zake kwa upekee. Siyo wadau pekee hata wachezaji na viongozi wao...
Kundi la Wagosi wa Kaya linaloundwa na Dk John na Mkoloni linakumbukwa na wengi kwa nyimbo zao maarufu kama Wauguzi, Tanga Kunani, Kero, Bei Juu, Fat na Soka, Dereva, Tr...
Kwa mujibu wa utafiti uliyofanywa na Josh R. Novak na mwanasaikolojia Kaleigh C. Miller kutoka chuo Chuo Kikuu cha Auburn, Marekani umebaini kuwa wanandoa wanaokumbatiana ...
Peter Akaro
Kwa sasa kiu ya Harmonize, staa wa Bongo Fleva kutokea Konde Music Worldwide, ni kushinda tuzo kubwa zaidi za muziki duniani, Grammy. Ni ndoto ambayo ameizungumza ...