Zaidi ya watu 4,300 wafariki tetemeko la ardhi Uturuki

Zaidi ya watu 4,300 wafariki tetemeko la ardhi Uturuki

Ripoti za idadi ya waliofariki inaendelea kuongezeka kufuatia tetemeko la ardhi la ukubwa wa 7.8 kwa kipimo cha richa kuzipiga Uturuki na Syria, usiku wa kuamkia Februari 6, 2023.

Watu 2,921 wameripotiwa kufariki nchini Uturuki huku zaidi ya 15,000 wakijeruhiwa na kwa upande wa Syria imeripotiwa waliofariki ni watu 1,444 ikifanya jumla ya vifo kufikia 4,365, inaelezwa idadi inatarajiwa kuongezeka.

Rais wa Korea Kusini, Yoon Suk-yeol amesema nchi yake itatuma timu ya waokoaji na vifaa vya matibabu ya dharura nchini Uturuki ili kusaidia uokoaji unaoendelea.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags