Young Lunya atoa siri ya kufanikiwa kimuziki

Young Lunya atoa siri ya kufanikiwa kimuziki

Niaje mtu wangu wa nguvu? Kukuletea habari kuhusu wasanii wako ni jukumu langu ndo maana tunazitafuta na kukusogezea stori zote za burudani kwenye ukurasa wetu wa Mwananchi Scoop.

Ebwana, yule mkali wa wimbo wa vitu vingi maarufu katika game la muziki nchini kama Young Lunya a.k.a Mbuzi atoa siri kuhusu yeye kufanikiwa katika muziki wake.

Mkali huyo ambaye aliachia ngoma yake ya kwanza “ Vitu vingi” akiwa katika menejiment yake mpya Sony music. Lunya kupitia ukurasa wake wa Instagram story amepost video ikimuoyesha akiwa studio akirecord wimbo mpya.

Aidha kupitia video aliandika ujumbe ukisema, “kukesha studio raha.” Hii imeonyesha kwamba mbuzi anatumia muda wake wingi studio ili kuandaa mziki mzuri kwa mashabiki zake.

Je kitendo cha msanii kukesha studio ndo siri pekee ya kufanikiwa kimuziki? Dondosha comment yako hapo chini.


Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Habiba Mohamed

A digital journalist and writer for mwananchi scoop My stories around entertainment,fashion, Artist profile, relationship, lifestyle and career.


Latest Post