Travis Scott amnunulia mtoto wake basi la Shule

Travis Scott amnunulia mtoto wake basi la Shule

 

Rapa kutoka marekani Travis Scott @traviscott amesuprise binti yake Stormi kwa kumnunulia basi la shule “school bus” yenye rangi ya njano ikiwa ni moja ya ndoto ya mwanae.

Taarifa hii imethibitishwa na mpenzi wa rapa huyo Kylie Cosmetics @kyliejenner kwa ku-share picha za basi hilo jipya katika ukurasa wake wa Instagram.

Mwanadada huyo baada ya kupost picha hizo alisindikiza na maneno haya “Siku zote Stormi amekuwa akiongelea/akitamani kuendesha basi kubwa lenye rangi ya njano”






Comments 5


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags