Mtoto wa CR7 kukipiga Al Nassr

Mtoto wa CR7 kukipiga Al Nassr

Mtoto wa mchezaji kutoka ‘klabu’ ya Al Nassr ya Saudi Arabia, CR7, Cristiano Jr amejiunga na ‘timu’ ya vijana chini ya umri wa miaka 15, katika ‘timu’ hiyo hiyo anayoichezea baba yake.

Cristiano Jr mwenye umri wa miaka 13 amekuwa akifuata nyendo za baba yake huku akitamani siku moja kuja kucheza pamoja na Ronaldo atakapofika miaka 16.

Cristiano Jr aliwahi kucheza katika ‘timu’ mbalimbali ambazo baba yake alishawahi kuzichezea ilikiwemo, Real Madrid, Juventus, na Manchester United.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags