Michael Jordan na tetesi za kuwa kwenye huba zito na Amber Jepson

Michael Jordan na tetesi za kuwa kwenye huba zito na Amber Jepson

Muigizaji maarufu nchini Marekani Michael B. Jordan (35) anadaiwa kuanza kutoka na mwanamitindo wa Uingereza Amber Jepson (26) ikiwa ni miezi 6 tangu aachane na Lori Harvey.

Kwa mujibu wa The Sun, Michael na Amber wanasemekana kuwa katika hatua za awali za uhusiano wao wabongo tunaita penzi jipya na wamekuwa kwenye miadi nyingi wakati Michael B. Jordan akiwa nchini Uingereza, kufuatia ununuzi wake wa hisa kwenye klabu ya soka AFC Bournemouth hivi karibuni.

Mmmmmh! Sio pouwa, haya wanangu wa Mwananchi Scoop kujeni hapa na mseme penzi litakuwa au tuwape muda wataachana tuu. Dondosha komenti yako hapo chini.


Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post