Messi adai PSG haikumpa heshima anayo stahili

Messi adai PSG haikumpa heshima anayo stahili

Nyota wa ‘klabu’ ya Inter Miami, Messi amefunguka na kueleza kuwa ‘timu’ aliyokuwa akiichzea hapo awali ya PSG haikumpa heshima baada ya yeye kushinda Kombe la Dunia mwaka 2022.

Kwa mujibu wa One foot ball news alifunguka kuhusu maisha yake yalivyokuwa katika ‘klabu’ hiyo, Messi alivyorudi na Kombe la Dunia ili kwenda kushangilia na mashabiki katika uwanja wa Parc Des Princess, klabu hiyo haikuruhusu kitendo hicho, kwa kuhofia kuwakwaza mashabiki japo wachezaji wenzake walimpongeza na kumpa heshima kwa kutwaa taji hilo.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags