Maboss kuwekewa zuio la kuwapigia simu wafanyakazi baada ya saa za kazi

Maboss kuwekewa zuio la kuwapigia simu wafanyakazi baada ya saa za kazi

Bunge nchini Kenya limewasilisha muswada ukilenga kuweka zuio kwa waajiri kuwapigia simu waajiriwa wao baada ya saa za kazi.

Endapo muswada huo utapitishwa basi ukiukwaji wake utapelekea mwajiri kupigwa faini ya takriban Tsh. 9,404,426 au kifungo cha mwaka mmoja jela.

Aloooooh! Kibongo bongo ungependa kitu gani bosi wako asikufanyie baada ya masaa ya kazi kuisha? Dondosha komenti yako hapo chini mwanangu sana.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags