Inter Miami ya Messi

Inter Miami ya Messi

‘Klabu’ ya Inter Miami kutoka nchini Marekani imeendelea kuongeza wafuasi kwenye mitandao ya kijamii kila uchwao baada ya kumsajili mchezaji aliyeshinda Kombe la Dunia 2022, Lionel Messi sasa kwenye mtandao wao wa Instagram wameongeza wafuasi kutoka milioni 1 hadi milioni 15.

Huku baadhi ya wadau wa mpira wa miguu wakieleza kuwa mchezaji huyo anaendelea kukusanya kijiji kila kukicha.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags