Dulla Makabila na Rushaynah ni wapenzi

Dulla Makabila na Rushaynah ni wapenzi

Usiku wa kuamkila leo msanii wa singeli Dulla Makabila alikuwa na show Yombo ambapo alimpandisha ‘stejini’ aliyekuwa mke wa Haji Manara, Rushaynah jambo ambalo liliwaacha mashabiki njia panda baada ya Makabila na baadhi ya marafiki zake kumuita Rushaynah Shemeji.

Kwa mtazamo wako unadhani Makabila na Rushaynah ni wapenzi?

Katazame video ukurasa wetu wa Instagram @Mwananchiscoop






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags