27
Dulla Makabila na Rushaynah ni wapenzi
Usiku wa kuamkila leo msanii wa singeli Dulla Makabila alikuwa na show Yombo ambapo alimpandisha ‘stejini’ aliyekuwa mke wa Haji Manara, Rushaynah jambo ambalo lil...
24
Manara afunga ndoa na Zaiylissa
Baada ya kudai kuwa ndao yake na mpenzi wake Zaiylissa, itakuwa ya siri hatimaye Haji Manara amefunga ndoa na muigizaji huyo siku ya leo Jumatato, Januari 24, 2024.Kupitia uku...
20
Haji Manara na Dulla Makabila kwenye bifu zito
Zikiwa zimepita siku mbili tangu aliyekuwa mke wa Mwanamuziki wa singeli nchini Dulla Makabila, Zaylissa kuvishwa pete Januari 18 na aliyekuwa msemaji wa klabu ya Yanga Haji M...
19
Haji Manara amchumbia Zaylissa
Aliyekuwa msemaji wa klabu ya Yanga Haji Manara, amvisha pete ya uchumba mpenzi wake Zaylissa siku ya jana Januari 18.Sherehe hiyo ya kuvishana pete ilienda sambamba na kusher...
11
Baba mzazi wa kocha Nabi afariki dunia
Aliyekuwa ‘Kocha’ Mkuu wa ‘Klabu’ ya Yanga Nasreddine Nabi amefiwa na baba yake mzazi asubuhi ya leo.Taarifa ya kifo chake imetolewa na aliyekuwa Msema...
21
Rushaynah : Harmonize sio mpenzi wangu
Baada ya video na picha za aliyekuwa mke wa Haji Manara, Rushaynah na Harmonize kusambaa kwenye mitandao ya kijamiii, huku wengi wakidai kuwa wawili hao huwenda wakawa wapenzi...
12
Manara: Tunataka ‘marefa’ watenda haki
"Kesho ni ‘mechi’ ya hisia kubwa ni mechi yenye kuchukua akili za watanzania, sio ‘mechi’ ya matokeo tu bali ni ‘mechi’ inayosakwa heshma z...
06
Alichokiandika Manara baada ya simba kumtimua Zoran
Aloooooh! Waswahili wanasema vita ya panzi ni furaha kwa kunguru, huu msemo wala hakukosewa basi bwana yule msemaji wa yanga mzee wa kuwakera Haji Manara,  anaanzaje kuka...
05
Manara awajia juu TFF baada ya kumpiga stop Kisinda
Hellow! It another Monday mtu wangu wa nguvu, I hope mko good kabisa, leo katika michezo bwana yule msemaji aliefungiwa miaka 2 na faini Haji Manara, ametoa povu baada ya Tff ...
24
Manara: usimba na uyanga unaharibu timu ya Taifa
Oyeeeeeaaah! Likitokea swala la jambo linajumuisha watanzania basi ni vyema wote tukaungana na jambo hilo, basi bwana lile semaji la mabingwa Haji Marana ametoa povu baada ya ...
25
Manara: Yashaongelewa mengi sasa ni muda wa muhusika kuongea
It’s another Monday mdau wa Mwananchi Scoop kama mnavyo jua hatupoi wala hatuboi basi bwana yule msemaji wa mabingwa Haji Manara kupitia ukurasa wake wa Instagram ameand...
22
Barbara Gonzalez: Sina taarifa hiyo nawaza kuhusu Timu yetu
Mmmmmmmh! Baaada ya purukshani zote mitandaoni kuhusiana na swala la Manara kufungiwa basi bwana kwa upande wa Afisa mtendaji mkuu wa Simba Barbara Gonzalez yeye akiwa katika ...
22
Manara: Kwangu wamebugi
Uwiiiiiiii! Hahahha! Make hapa kwanza ncheke,  Semaji la mabingwa bwana hajaamua kukaa kimya baada ya sakata lake kufungiwa na TFF miaka 2 na faini ya million 20 Manara k...
21
Alichokiandika Shafii Dauda baada ya Manara kufungiwa
Duuuuuuuh! Ikiwa ni taarifa za kuskitisha zinazoendelea kusambaa na kutrend katika mitandao ya kijamii kuhusu swala la msemaji wa Yanga Haji Sunday Manara kupewa adhabu ya kif...

Latest Post