Dr Dre atunukiwa nyota ya heshima

Dr Dre atunukiwa nyota ya heshima

Baada ya kutangazwa na watoaji wa nyota za heshima ya ‘Hollywood Walk of Fame’siku chache zilizopita, hatimaye ‘rapa’ na producer Dr Dre tayari ametunukiwa nyota hiyo siku ya jana Machi 19.

Dre ametunukiwa nyota hiyo kutokana na mchango wake mkubwa katika muziki pamoja na kuinua wanamuziki mbalimbali akiwemo 50 Cent, kupitia ‘lebo’ yake.

Katika tukio hilo ‘mastaa’ mbalimbali walijitokeza kumsindikiza mwanamuziki huyo kwenda kupokea nyota yake ya heshima akiwemo Snoop Dogg, 50 Cent, Eminem na wengineo






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags