11
Dulla Makabila Anavyotembea Na Upepo
Mwanamuziki wa singeli Dulla Makabila siku zote anatambulika kutokana na kutembea na upepo, hii ni baada ya kutoa ngoma mpya kufuatia na tukio linaloendelea kutrendi mitandaon...
11
Hali Ya Mwigizaji Bruce Willis Yazidi Kuwa Mbaya
Hali ya mwigizaji maarufu kutoka Marekani Bruce Willis inazidi kuwa mbaya baada ya kuripotiwa kupoteza mawasiliano kabisa kufuatia na ugonjwa unaomsumbua wa Frontotemporal Dem...
11
Shamsa Ford: Manara Usichoke Kuoa
Mwigizaji na mfanyabiashara Shamsa Ford amemtaka aliyekuwa msemaji wa Yanga, Haji Manara asichoke kuoa kwani amekuwa msaada mkubwa kwa wanawake anaofunga nao ndoa.Inawezekana ...
11
Aoa Mbuzi Baada Ya Kuteseka Na Mapenzi Kwa Muda Mrefu
Kijana mmoja kutoka nchini India aliyefahamika kwa jina moja George ameripotiwa kufunga ndoa na Mbuzi baada ya kuvunjika moyo kutokana na mahusiano yake ya nyuma.Inaelezwa kuw...
11
Mashabiki Wajitokeza Kutoa Heshima Za Mwisho Kwa Rubby Perez
Mashabiki, ndugu, jamaa pamoja na wasanii wamejitokeza kutoa heshima za mwisho kwa mwanamuziki Rubby Perez aliyefariki dunia kwa kuangukiwa na paa wakati alipokuwa akitumbuiza...
11
Wolper Atia Neno Ishu Ya Zai Na Manara
Mwigizaji na mfanyabiashara Jacqueline Wolper ametia neno kuhusiana na ishu nzima ya Zaiylissa na Haji Manara kurushiana maneno mitandaoni huku akiwataka kuacha kutoleana siri...
11
Manara Aendelea Na Msimamo Wake
Aliyekuwa mume wa mwigizaji Zaiylisa, Haji Manara ameendelea na msimamo wake wa kutoongea chochote mpaka pale muda sahihi utakapo amua hilo.Kupitia ukurasa wake wa Instagram a...
10
Manara: Siwezi kufanya kiki za mapenzi, msimamo wangu ndio huo
Unaweza kusema haikuwa bahati kwa waliokuwa wakipendanao, Haji Manara na mwigizaji Zaiylissa. Baada ya wawili hao kurushiana maneno kwenye mitandao ya kijamii wakionesha penzi...
10
Dullah Makabila atoa msimamo kinachoendelea ndoa ya Zaiylissa na Manara
Mwanamuziki wa Singeli, Dullah Makabila ameiambia Mwananchi kuwa ameumizwa na taarifa zinazodai mwigizaji Zaiylissa ameachana na m...
09
Aika Awafunda Wanawake Kuhusu Mahusiano
Msanii wa Bongo Fleva ambaye pia ni mshirika wa kundi la muziki la Navykenzo, Aika amewashauri wasichana kutokuwa na matarajio makubwa kutoka kwa wanaume.Aika ameyasema hayo k...
09
Lody Music: Kushuka Kimuziki Hakunisumbui
Mwanamuziki wa Bongo Fleva aliyejizolea umaarufu kupitia wimbo wake ‘Kubali’, Lody Music ameiambia Mwananchi Scoop kuwa anaamini kupanda na kushuka ni sehemu ya ma...
09
Msanii Na Mashabiki Wafariki Baada Ya Kudondokewa Na Paa
Mwimbaji wa merengue mwenye umri wa miaka 69 kutoka Jamhuri ya Dominika, Rubby Pérez anayejulikana kwa vibao vilivyotamba kwenye Billboard kama “Tu Vas a Volar,&r...
09
Justin Bieber Ameanza Kuvunja Ukimya Kuhusu Diddy
Mwanamuziki kutoka Canada, Justin Bieber amefunguka ukweli kuhusiana na aliyofanyiwa na rapa Diddy ambaye kwasasa yupo gerezani akisubilia kesi yake kuanza kuzikilizwa Mei 202...
09
Burna Boy Atoa Somo Kwa Wasanii Afrika
Mkali wa Afrobeat kutoka Nigeria, Burna Boy ametoa somo kwa wasanii wa Afrika akidai kuwa mashabiki wazawa hawatoshi kumfikisha mbali msanii."Wasanii wapendwa msiruhusu kurasa...

Latest Post