11
Jason Derulo anaamini Diddy hana hatia
Mwanamuziki kutoka nchini Marekani Jason Derulo amkingia kifua mkali wa Hip-hop Diddy kwa kudai kuwa mwanamuziki huyo hana hatia. Derulo ameyasema hayo wakati alipokuwa akipig...
26
Wala toothpicks wakidai zinaongeza ladha ya chakula
Serikali Korea Kusini imeonya na kuzuia matumizi ya vifaa vya kutolea mabaki ya chakula kwenye meno ‘toothpicks’ kutokana na baadhi ya watu kuvikaanga na kuvila.Se...
15
Robertinho aacha walaka kwa Dewji, Kuhusu Azizi Ki
Aliyekuwa ‘Kocha’ Mkuu wa ‘Klabu’ ya Simba Robertinho ameacha walaka kwa Rais wa timu hiyo, Mohammed Dewji na kumtaka amng’oe Aziz Ki Yanga. Robe...
13
Madam Rita: Sina mume wala mchumba, Nahisi wananiogopa
Mkurugenzi wa Bongo Star Search #BSS, #RitaPaulsen maarufu kama Madam Rita, amedai kuwa hana mume wala mchumba anahisi wanaume wanamuogopa. Akizungumza na moja ya chombo cha h...
05
Aliyempata mbwa wa Lady Gaga aambulia patupu
Mwanamuziki maarufu nchini Marekani Lady Gaga hatoruhusiwa tena kumlipa mwanamke ambaye alirudisha mbwa wake baada ya kuibiwa mwaka 2021 ambapo pesa hiyo aliahidi kama zawadi....
29
Wachezaji walalamika jezi kushika jasho haraka
Wachezaji wa ‘klabu’ ya Aston Villa watoa malalamiko kwa ‘kampuni’ ya utengenezaji ‘jezi’ ya Castore, kwa kudai ‘jezi’ hizo zin...
28
Nenga afunguka njaa inafanya waimbe Amapiano
Akiwa katika mahojiano na vyombo vya habari nchini mwanamuziki #Billnass ameeleza kuwa yeye hawashawishi wala kushauri watu kuendelea kufanya muziki wa Amapiano na hatamani wa...
22
Wanafunzi walazwa baada ya kula keki zenye bangi
Wanafunzi wasiopungua 90 wa shule ya msingi Soshanguve iliyopo South Africa, wamelazwa hospitali baada ya kula ‘keki’ zinazodaiwa kuchanganywa na bangi.Kwa mujibu ...
23
Fahamu kijiji ambacho nyumba zao hazina ‘Milango’, Hakuna wizi
Katika jamii nyingi ni vingumu kukuta wahusika wa nyumba wakiwa hawapo huku milango wameacha wazi, wengi wakitoka kwenda sehemu ba...
11
Bongo atangaza kugombea tena
Rais wa Gabon, Ali Bongo amedhamiria kugombea tena kiongozi huyo aliyeingia madarakani mwaka 2009 akichukua nafasi ya baba yake, Omar Bongo aliyetawala kwa zaidi ya miaka 40. ...
13
Wanaharakati wa upinzani wafunguliwa mashtaka, Zimbabwe
Wanaharakati 39 wa upinzani wanaoshutumiwa kwa kuzua ghasia za kisiasa nchini Zimbabwe wamefunguliwa mashtaka kuhusiana na madai ya kuharibu ofisi ya chama tawala (ZANU-PF) si...
02
Waliopinga utawala wa Mfalme Mswati wahukumiwa jela miaka 20
Mahakama kutoka nchini Eswatini imewakuta wabunge wawili na hatia ya mauaji na ugaidi kwa jukumu lao katika wimbi la maandamano yaliyoikumba nchi hiyo mwaka 2021. Mduduzi Bace...
09
Aliyekuwa waziri mkuu Burundi kizimbani kwa madai ya kumtukana rais
Alain Bunyoni aliyefutwa kazi baada ya kudaiwa kuwa na mipango ya kufanya mapinduzi dhidi ya Serikali ya Rais wa Burundi Evariste ...
25
Wala chipsi hatarini kupata changamoto za afya ya akili
Kama tunavyojua chipsi ni moja ya vyakula maarufu, vinavyopatikana fastafasta na vinavyopendelewa Zaidi katika nchi mbalimbali duniani ikiwemo Tanzania lakini habari mpya na m...

Latest Post