Kwa mujibu wa utafiti uliyofanywa na wataalamu kutoka Ufaransa Jean-Marie Robine na David Sinclair unaeleza kuwa wanaume wafupi wanaishi maisha marefu kuliko wanaume warefu.
Wataalamu hao wameweka wazi kuwa utafiti huo umehusisha urudufishaji mdogo wa seli katika miili midogo na mikubwa jambo ambalo lilipelekea kuonekana kupunguza uchovu wa seli kwa watu wafupi.
Wanaume wafupi wanaweza kuongeza miaka mitatu mbele kuliko warefu. Kihistoria kimo kifupi kilihusishwa na lishe duni wakati wa utoto na viwango vya juu vya vifo, lakini leo, kutokana na hali bora za kijamii na kiuchumi, watu wafupi mara nyingi hufaidika na afya bora na maisha marefu.
Leave a Reply