11
UN yaitaka FIFA kutoa malipo sawa, wachezaji wa kike na wakiume
Shirika la Umoja wa Mataifa (UN) limeshauri Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA) kuhakikisha linatoa malipo sawa ya fedha na tuzo kwa wanawake , kama ilivyo kwa wanaume...
04
Marufuku saloon za kike, Afghanistan
Kundi la Taliban limeamuru saluni za nywele na urembo za kike nchini Afghanistan kufungwa ikiwa ni kikwazo kipya wanachokabiliana nacho wanawake. Taliban imewapa wanawake wa ...
08
Saudi Arabia yatarajia kusitisha mapigano
Saudi Arabia inasema inatarajia mazungumzo yaliyoanza mjini Jeddah siku ya Jumamosi kati ya makundi ya kijeshi ya Sudan yanayozozana yatafikia usitishaji wa kudumu wa mapigano...
21
Wasudan 20,000 wakimbilia Chad
Umoja wa Mataifa (UN) umesema kuwa kati ya watu 10,000 na 20,000 wamekimbia mapigano makali Sudan na kutafuta usalama katika nchi jirani ya Chad. Shirika la Umoja wa Mataifa l...
19
India yaongoza kwa watu wengi duniani
India imeipiku sasa China kama Taifa lenye watu wengi zaidi Duniani, kulingana na ripoti iliyotolewa na Umoja wa Mataifa (UN) mapema hii leo, idadi ya Natu Nchini humo imefiki...
16
Maombolezo siku 14 baada ya kimbunga freddy kuua watu 225
Rais wa Malawi Lazarus Chakwera ametangaza siku 14 za maombolezo baada ya kimbunga freddy kuuwa zaidi ya watu 225.  pia ameagiza Bendera kupepea nusu mlingoti kwa si...
01
50% ya dawa Afrika Magharibi ni bandia
Ofisi ya Umoja wa Mataifa (UN)  inayosimamia Dawa za Kulevya na Uhalifu (UNODC) imesema kuna kasoro kadhaa katika kuripoti kuhusu biashara hiyo haramu na huenda idad...

Latest Post