09
Ustaa bongo ni mzigo wa maumivu
Kama kuna kitu kigumu kwenye huu ulimwengu, basi ni kuishi katika dunia ya umaarufu, hasa unaokulazimu kuficha maumivu na uonyeshe nyakati za furaha pekee. Huu ndiyo uhalisia ...
27
Mwigizaji Bill Cobbs afariki dunia
Mwigizaji mkongwe wa Marekani Bill Cobbs ambaye amejulikana zaidi kupitia filamu zake kama ‘Night at the Museum’ na ‘The Bodyguard’ amefariki dunia aki...
23
Ayra starr: Nimepata umaarufu nikiwa na umri mdogo
Nyota wa Afrobeats kutoka nchini Nigeria Ayra Starr, amejigamba kwa kudai kuwa amepata umaarufu katika muziki akiwa na umri mdogo. Msanii huyo ameyasema hayo akiwa katika maho...
17
‘Calm Down’ ya Rema bado haijaisha makali
Wimbo wa mwanamuziki kutoka nchini Nigeria #Rema ‘Calm Down’ umeweka historia ya kuwa wimbo wa kwanza wa Afrika kuingiza bilioni 1 zinazohitajika nchini Marekani. ...
03
Mgahawa wapata umaarufu baada ya Lamar kuutaja
Mgahawa mmoja uliyopo Toronto nchini Canada uitwao ‘New Ho King’ umepata umaarufu na kuwa na wateja wengi baada ya ‘rapa’ Kendrick Lamar kuutaja kwenye...
09
Stoute: Gomez alimtumia Rema, kurudisha umaarufu wake
Mfanyabiashara na CEO wa ‘UnitedMasters’ Steve Stoute kutoka nchini Marekani amedai kuwa mwanamuziki Selena Gomez alimtumia mkali wa Afrobeat Rema kurudisha umaaru...
17
Benzema amfungulia mashitaka waziri Darmanin
Mchezaji wa ‘klabu’ ya Al-Ittihad kutoka nchini Saudi Arabia, Karim Benzema amemfungulia mashitaka Waziri wa Mambo ya Ndani Ufaransa Gerald Darmanin kwa kumchafuli...
17
Atumia wimbo wa Davido kupiga mkwanja
Kama ilivyo kwa baadhi ya wasanii Bongo kutikisa mitaani na kwenye mitandao ya kijamii kutokana na ngoma za wasanii wengine kwa kuzifanyia cover, ndivyo ilivyotokea kwa kijana...
23
Mfahamu muigizaji aliyepata umaarufu kwa kupostiwa na jeshi la polisi
Watu husema umaarufu haulazimishi bali unajileta wenyewe, na linapokuja suala la umaarufu kila mmoja ana njia aliyotumia ili afaha...
24
Mlinzi afukuzwa kazi, Muziki wamponza
Mlinzi Calvin Denker aliyepata umaarufu kwenye mitandao ya kijamii baada ya video yake kusambaa akiimba wimbo wa msanii Taylor Swift, wakati akiwa lindo kwenye tamasha aliloku...
12
Daladala alilopanda Odinga lapata umaarufu
Waswahili wanasema mgeni njoo mwenyeji apone, msemo huu umesaidiki, kupitia kijana David Murage ambae amejipatia umaarufu kwa siku tu baada ya kumsafirisha kiongozi wa Muungan...
17
Sababu ya Chino Kidd kufanya muziki
Alooweee!! Najua mko poa wanetu wa faida nikukumbushe it’s another weekend lazima tukutane kuhabarishana mambo kadha wa kadha mtu wangu utakaaje kizembe wakati mwananchi...
26
Tyrese: Ex wangu alifata pesa na umaarufu
Aloo!! Kumbe utapeli katika mapenzi bado tatizo kubwa, sasa bwana muigizaji kutoka nchini Marekani Tyrese Gibson kupitia ukurasa wake wa Instagram alisema kuwa amekuja kugundu...
09
Mchezo wa rede unavyo endelea kupata umaarufu
Na Asha Charles Alooo weeeeee!! Its frieday na ramadhani ndo hiyooo kama inaanza kututupa mkono hivi, sasa basi kwenye segment yetu ya burudani na michezo leo tumekusogezea mc...

Latest Post