Rapa maarufu kutoka Marekani, Cardi B, ameonyesha kuguswa na maneno ya mashabiki kwa mwanamuziki kutoka Afrika Kusini, Tyla katika mitandao ya kijamii.Akizungumza na mashabiki...
Agosti 10 mwaka huu, msanii wa Bongo Fleva,Rayvanny aliandika historia katika muziki na kuitetemesha dunia na wimbo wake wa 'Ooh Mama Tetema'. Wimbo huu ni marudio w...
Mwanamitindo na mfanyabiashara maarufu Kim Kardashian amezua mijadala katika mitandao ya kijamii baada ya moja ya video yake kuvuja ikimuonesha akitokwa na machozi huku akimwo...
Msanii wa hip hop kutoka Marekani, Kid Cudi, amefunguka kwa mara ya kwanza baada ya kutoa ushahidi dhidi ya mwanamuziki na mfanyabiashara “Diddy” Combs, akieleza k...
Kila ifikapo siku ya Alhamisi watu hupamba mitandao ya kijamii kwa picha na video za matukio yaliyopita. Matukio hayo hugusa sehemu mbalimbali ikiwemo kwenye michezo, familia ...
Mungu hakupi unachotaka anakupa unachostahili! Kauli hii inajidhihirisha kwa msanii wa muziki nchini, Babalevo licha ya watu wengi kuamini kuwa mafanikio yake yanatokana na mu...
Rangi nyekundu ya mdomoni ‘lipstick’, si mtindo wa kisasa kama ambavyo wengi wanavyofikiria, mtindo huo ulianzishwa na wanawake wa Babeli na Sumeria kutoka Mesopot...
Mkali wa Pop kutoka Marekani, Madonna amemuomba Papa Leo XIV, akimsihi kwenda Gaza ili kuwasaidia watoto wanaoteseka kutokana na mgogoro unaoendelea.Katika chapisho lake kweny...
Rhobi ChachaSafari ya kukamilisha ndoto ya Mfalme wa Rhymes, rapa mkongwe, Seleman Msindi 'Afande Sele' ilianza wiki iliyopita Agosti 5, baada ya tukio la kipekee la...
Wakati mashabiki wakiendelea kuujadili umbea kuhusiana na mwanamuziki Davido kudaiwa kutoka kimapenzi na mtengeneza maudhui, Jessie Awazie huku ikiripotiwa kununuliwa vitu vya...
Umewahi kugundua kuwa zipu nyingi tunazotumia kwenye mikoba, nguo, na hata mabegi huwa zimeandikwa herufi YKK? Leo fahamu maana ya herufi hizo. YKK ni kifupisho cha maneno ya ...
Nyota wa soka wa Ureno ambaye kwa sasa anaichezea Al-Nassr ya Saudi Arabia, Christian Ronaldo (CR7), ametangaza uchumba wake rasmi na mwanamitindo maarufu Georgina Rodrí...
Mchekeshaji Hassan Kazoa ‘Mr Food’ameweka wazi ugumu anaopata katika kunakilisha sauti ‘Dubbing’ kama mlemavu.Akizungumza na Mwananchi Kazoa, ambaye an...