Mudi Msomali aliyekuwa akimsimamia marehemu mchekeshaji Frank Patrick 'Molingo' katika sanaa yake, amesema kijana huyo alikuwa na tatizo la kuishiwa damu baada ya kutokwa damu...
Mashabiki wamemnanga mwanamuziki wa Marekani John Legend baada ya kuimba vibaya wimbo wa marehemu mwanamuziki Price katika mkutano wa Kitaifa wa Kidemokrasia (DNC).Kupitia mit...
Mwanamuziki maarufu nchini Nigeria, #Simi, ametoa sauti yake katika maandamano ya kupinga ongezeko la kodi yanayoendelea nchini Kenya ambapo amedai kuwa inahuzunisha watu kupo...
Mwanamuziki kutoka Marekani Usher Raymond ameweka wazi kuwa kila ifikapo siku ya Jumatano huwa hali chakula chochote zaidi ya kunywa maji.
Usher ameyasema hayo wakati alipokuw...
Bondia wa ngumi za uzito duniani (Heavy Weight), Deontay Wilder ameporomoka kwenye viwango vya ubora kwenye mchezo huo, huku Tyson Fury akimpisha Oleksandr Usyk namba moja.
Wi...
Mwanamuziki wa Nigeria, Ruger amefunguka mtazamo wake kuhusu mahusiano kwa kudai kuwa anaweza kupenda wanawake watano tofauti kwa wakati mmoja.
Ruger ameyasema hay...
Baada ya kuwepo kwa tetesi za mwanamuziki #JenniferLopezi na mumewe #BenAffeck kutengana na kuuza nyumba yao waliyokuwa wakiishi, hatimaye wawili hao wamekutana tena katika ma...
Mmiliki wa mtandao wa X zamani (Twitter) #ElonMusk amepinga kampuni ya Apple kutumia mfumo wa akili bandia (AI) kwenye iPhone na vifaa vyingine.
Musk ameweka wazi kuwa hakubal...
Ulimwengu wa fashoon unabebwa na vitu vingi, kutokana na hilo jarida la Mwananchi Scoop, limekusogezea njia za kupaka make-up simple.
Kama inavyofahamika urembo ni kitu muhimu...
Aliyekuwa Meneja wa programu za #Facebook, Barbara Furlow-Smiles, ambaye alikuwa akikabiliwa na kesi ya ulaghai baada ya kuiba zaidi ya dola 5 milioni kutoka kwa kampuni hiyo ...
Klabu ya Simba ndiyo yenye wafuasi wengi kwenye mitandao ya kijamii kwa upande wa Afrika Mashariki.
Timu hiyo inakaribia wafuasi milioni 11, kupitia kurasa zake za mitandao ya...
Baada ya jinsia ya mtoto wa Marioo na Paula kutambulika mwanamuziki wa Bongo Fleva Billnass amemkaribisha marioo kwenye chama cha wazazi.
Kupitia ukurasa wake wa Instagr...
Mwanzilishi wa vyombo vya habari na tajiri maarufu kutoka nchini Marekani Rupert Murdoch (92) anatarajia kufunga ndoa yake ya tano na mpenzi wake Elena Zhukova (67).Kwa mujibu...
Baada ya siku kadhaa nyuma kutangaza kuondoka katika ‘klabu’ ya Paris St-Germain (PSG) mshambuliaji Kylian Mbappe amekubali kujiunga na Real Madrid msimu mpya utak...