Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Harmonize amesema muda mrefu aliishi kwa hofu na mashaka juu ya watu aliokuwa akiingia nao kwenye mahusiano.Amesema ulipoanza mwezi wa Ramadhani al...
Dar es Salaam. Jamii yahimizwa kuwashika mkono vijana wenye vipaji mbalimbali ili waweze kufikia malengo yao.Hayo yameelezwa na Makamu Mwenyekiti wa Mashindano ya vipaji kwa v...
Baada ya kuwepo na tetesi kuhusiana na hali ya ndoa ya Justin Bieber na Hailey Bieber kuwa haiko vizuri huku baadhi ya ripoti zikidai kuwa Hailey amekuwa akilia na kuonyesha h...
Mwanamuziki wa Kenya, Bien amesema anakoshwa na msanii wa nyimbo za Injili Joel Lwaga na Saluu ambaye ni mshindi wa pili wa mashindano ya Bongo Star Search 2024-2025.Bien amey...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limethibitisha kuwahoji Mwemba Burton Mwemba, maarufu Mwijaku na wanafunzi wanne wanaidaiwa kushiriki katika tukio la kumshambul...
Mkali wa Afrobeat kutoka Nigeria, Burna Boy, anaendelea kung’ara kimataifa kufuatia uwezo wake wa kuchanganya Afrobeat na miondoko mingine kama reggae, dancehall, na pop...
Mwanamuziki kutoka nchini Uganda, Jose Chameleone anatarajia kufanya show kwa mara ya kwanza baada ya kutoka kwenye matibabu nchini Marekani. Kupitia ukurasa wake wa Instagram...
Unaifahamu Kilwa Jazz Band, ambayo ilipoanza ilikuwa inapiga nyimbo zake kwa mitindo mbalimbali ikiwemo Rhumba, Chacha, Samba, Bolelo na kadhalika, lakini ilikuwa na sifa maal...
Mama mzazi wa mwanamuziki Beyoncé, Tina Knowles ameeleza jinsi alivyo na wasiwasi juu ya changamoto ambazo wajukuu wake wanakumbana nazo kutokana na umaarufu wa familia...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amezindua mfumo wa Usimamizi na Uendeshaji Kazi za Sanaa unaojulikana TAUSI wa OR-TAMISEMI na AMIS wa BASATA ambao unaunganisha Baraza la Sanaa Tan...
Peter AkaroTofauti na Tanzania, rekodi lebo nyingi za wasanii hasa nje ya bara la Afrika, zimekuwa na utamaduni wa kuingia makubaliano ya kufanya kazi na lebo kubwa ambazo zin...
Na Michael Anderson
Adui mkubwa wa maisha ya mtu ni woga. Na woga husababishwa na hofu, ambayo ni kiashilia cha kukutaka uwemakini.
Hofu inapatikana kwenye kitengo cha ...
Maeneo mengi kwa sasa yanakubwa na mvua. Hivyo ukiwa mdau wa fasheni siyo vizuri kutoka kishamba hata kama mvua inanyesha. Zingatia mitindo hii katika msimu huu wa mvua. ...
Wakati waumini wa dini ya Kiislamu wakiwa wamemaliza mfungo na kula Eid, waumini wa Kikristo bado wanaendelea na mfungo. Hivyo tumewasogezea jinsi ya kutengeneza kitafun...