Msanii Diamond Platnumz anaripotiwa kununua gari zingine mbili aina ya mercedes Benz nyeusi ambapo inaelezwa kuwa moja kati ya hizo haipitishi risasi yaani 'Bullet Proff'. Taa...
Wakati ‘rapa’ Tory Lanez akiendelea kutumikia kifungo chake baada ya kukutwa na hatia ya kumshambulia kwa bunduki aliyekuwa mpenzi wake Megani, ripoti mpya zinaele...
Mwanamuziki maarufu nchini Nigeria, #Simi, ametoa sauti yake katika maandamano ya kupinga ongezeko la kodi yanayoendelea nchini Kenya ambapo amedai kuwa inahuzunisha watu kupo...
Mwigizaji na mtayarishaji wa muziki Marekani Questlove, amedai kuwa hakuwahi kuwa shabiki wa marehemu mwanamuziki Tupac wala kuikubali ngoma yake iitwayo ‘Hit Em Up&rsqu...
Beki wa Kaizer Cheifs mwenye miaka 24, Luke Fleurs ambaye alijiunga na ‘timu’ hiyo akitokea SuperSport United Oktoba mwaka jana, amepigwa risasi na kuuawa wakati w...
Matukio ya wasanii kupigana risasi yamekuwa yakisikika kila kukicha katika baadhi ya mataifa, kama ilivyotokea Februari 10, 2023 kwa msanii AKA kutoka nchini Afrika Kusini , k...
‘Rapa’ #BlueFace ameamriwa kulipa fidia ya dola milioni 13 ambapo ni sawa na zaidi ya Bilioni 32 za Kitanzania baada ya kuhusika katika upigaji risasi kwenye club ...
Mwanamke mmoja kutoka nchini Marekani aitwaye Breneida Gottschalk ameshitakiwa kwa kosa la kutishia kufyatua risasi baada ya kuuziwa chips zilizoungua.
Mwanamke huyo mwenye um...
Dereva auawa kwa kupigwa risasi baada ya kuingia na gari lake ndani ya ofisi za Ubalozi Mdogo wa China ,San Francisco siku ya jana Jumatatu.
Wafanyikazi na wageni waliokuwepo ...
Mtoto mwenye umri wa miaka mitatu kutoka Miami-Dade, Florida ajipiga risasi bila kukusudia wakati akichezea bunduki aliyoikuta kwenye ‘kochi’.Mtoto huyo alikuta bu...
Mlinzi wa shule ya Thomas R. Proctor, iliyopo New York apigwa risasi kichogoni wakati akizuia ugomvi, katika eneo la kuegesha magari lililopo karibu na uwanja wa mpira wa shul...
Mchezaji wa ‘timu’ ya Taifa ya Panama, Gilberto Hernandez, ameuawa kwa kupigwa risasi katika Mji wa Colon, inadaiwa watu waliyokuwa na silaha walishambulia kundi l...
Hatimae Rapper kutoka Canada, Tory Lanez ahukumiwa miaka 10 gerezani kwa kosa la kumpiga risasi Megan Thee Stallion.
Msanii huyo alikutwa na hatia ya kumpiga risasi mwanamuzik...
Mtoto wa miaka miwili aliefahamika kwa jina la Jaiangelis Stevenson kutoka Los Angeles nchini California amejiua kwa kujipiga risasi bahati mbaya, siku ya Jumapili, Julai 9, K...