Rihanna Amchana Shabiki Kisa Kumwambia Anakomwe

Rihanna Amchana Shabiki Kisa Kumwambia Anakomwe

Mwanamuziki Rihanna amemjia juu shabiki mmoja aliefahamika kwa jina la ‘Lorenzo Hirmez’ baada ya shabiki huyo kumwambia Riri anakomwe.

“Tunahitaji album komwe” aliandika Lorenzo kufuatia na komenti hiyo Riri alimjiajuu kwa kumjinu “Nisikilize Lorenzo! wewe sio mzuri kiasi kwamba uniite mimi kwa jina baya hilo wewe ni mpumbafu,”


Utakumbuka kuwa mabishano hayo yalitokana na video ambayo Riri aliishare kupitia ukurasa wake wa Instagram Disemba Mosi 2025, ikimuonesha anahesabu dakika zilizosalia kufikia mwaka 2025 huku akijipongeza kwa kuto onja pombe kwa mwaka mzima wa 2024.

Aidha post hiyo ilipokea maoni kutoka kwa mashabiki zaidi ya 5600 ndani ya lisaa wakionesha kuhitaji kazi mpya ikiwa ni pamoja na album kutoka kwa msanii huyo ambae anatajwa kuongoza kwa wasanii wakike waliouza zaidi rekodi zao kwa karne ya 21 huku akishika namba 3 kwa wasanii matajiri zaidi duniani 2024.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Masoud Kofii


Latest Post

Latest Tags