03
Linapokuja suala la historia Celine Dion yupo tayari kwa lolote
Mwanamuziki mkongwe wa Canada Celine Dion afunguka kuwa linapokuja suala la historia yake yupo tayari kwa lolote.Mkali huyo wa ‘My Heart Will Go On’ akizungumza na...
03
Tanzania mambo magumu Olimpiki, yakosa medali nyingine
Matumaini ya Tanzania kupata medali katika michezo ya Olimpiki 2024 sasa yamebakia kwa wakimbiaji wanne baada ya leo muogeleaji Sophia Latiff kushindwa kufua dafu katika shind...
01
Mashabiki Sudani Kusini walivyofuatilia mchezo dhidi ya USA, Olimpiki 2024
Mashabiki wa michezo Sudan Kusini usuku wa kuamkia leo walikusanyika katika eneo moja kwa ajili ya kufuatilia mchezo wa Mpira wa K...
31
Biles awatolea povu wanaokosoa nywele zake
Mtaalamu wa mazoezi ya viungo kutoka Marekani Simone Biles amewatolea povu baadhi ya mashabiki waliokuwa wakikosoa mtindo wa nywele zake kwenye mashindano ya Olimpiki 2024.Kup...
20
Katazo wanamichezo wanawake kuvaa hijabu lazua mijadala
Ikiwa zimebaki siku chache kuanza kwa michuano ya Olimpiki nchini Ufaransa, uamuzi wa nchi hiyo kuzuia wanawake kuvaa hijabu katika michuano umezua mijadala na upinzani kutoka...
11
Celine Dion kutumbuiza olimpiki Paris 2024
Mwanamuziki mkongwe kutoka nchini Canada, Celine Dion ameripotiwa kutumbuiza  katika sherehe za ufunguzi wa michezo ya Olimpiki ya Paris 2024 licha ya kuwa na ugonjwa wa ...
11
Mwanariadha wa zamani apigania maisha yake ICU
Mwanariadha mkongwe wa Olimpiki kutokea nchini Marekani Mary Lou Retton inadaiwa kuwa kwa sasa anapigania maisha yake ICU akishambuliwa kwa ukonjwa wa mapafu (Pneumonia). Inae...
06
Mwanariadha wa kwanza kukimbia chini ya sekunde 10 afariki dunia
Mwanariadha kutoka nchini Marekani Jim Hines, mwanariadha wa kwanza kukimbia mbio za mita 100 chini ya sekunde 10, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 76. Alivunja rekodi h...

Latest Post