18
Man City na Arsenal waachwa kwenye mataa
‘Ligi’ kuu #Uingereza haitakuwa na ‘timu’ kwenye hatua ya nusu fainali za ‘ligi’ ya mabingwa #Ulaya baada ya ‘klabu’ kubwa mbil...
16
Mr Ibu kuzikwa mwezi wa sita
Marehemu muigizaji kutoka nchini Nigeria John Okafor (62) maarufu kama Mr Ibu anatarajiwa kuzikwa Juni 28, 2024. Taarifa hiyo imetolewa na kaka mkubwa wa Mr Ibu, Sunday Okafor...
27
Muonekano wa ndani nyumbani kwa P Diddy baada ya Uchunguzi wa Polisi
Video fupi iliyotolewa na mtandao wa TMZ ikionesha hali ilivyo ndani ya nyumba ya P Diddy iliyopo Miami baada ya kufanyiwa uchungu...
04
Sadio ajenga uwanja nyumbani kwao
Nyota wa ‘timu’ ya Taifa ya #Senegal, na ‘klabu’ ya #AlNassr #SadioMane, amejenga uwanja wa mpira wa miguu katika kijiji alichozaliwa cha Casamance, Ku...
29
Refa wa Mauritania kuzihukumu Al ahly na Yanga
Abdel Aziz Mohamed Bouh kutoka Mauritania, ndiye refa aliyepangwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) kuchezesha mechi ya hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika ...
24
Baa zungusha kama tulivyo, nyumbani njaa kali
#Weekend ndiyo hii wazee wa kujirusha siku yenu imefika, wengi wanatafuta pesa lakini kichwani wamejiwekea malengo ya kumwagilia moyo mwishoni mwa wiki, shida siyo kutumia pes...
12
Mamelodi yatwaa ubingwa AFL
Hatimaye ‘klabu’ #MamelodiSundowns imetwaa ubingwa wa kombe la Afrika ‘AFL’ kufuatia ushindi wa jumla wa 3-2 dhidi ya Wydad Casablanca kwenye ‘fa...
23
John afunguka kumfumania mpenzi wake na Danza
Muigizaji kutoka nchini #Marekani, #JohnStamos anadai kuwa aliwahi kumfumania mpenzi wake Teri Copley na muigizaji mwenzie Tony Danza. John anadai kuwa mwaka 1980 aliwakuta wa...
19
Tori akimbia nyumbani kwake kwa kuhofia usalama wake
Muigizaji kutokea nchini Marekani, #ToriSpelling ameripotiwa kuhama nyumbani kwake Los Angeles baada ya kuvamiwa na jirani yake akiwa na bunduki aina ya AR-15. Tori ambaye ali...
07
Ed Sheeran ajenga kaburi lake nyumbani kwake, atoa sababu za kufanya hivyo
Mwanamuziki Ed Sheeran amefichua kuwa tayari amejenga kaburi lake nyumbani kwake Uingereza huku akitoa sababu za kufanya hivyo. Mw...
17
Messi ashambuliwa mtandaoni kisa Pizza
Star wa ‘klabu’ ya #InterMiami #LionelMessi amejikuta akirushiwa maneno na mashabiki mtandaoni baada ya ku-post picha ya Pizza aliyokuwa anataka kuila. ‘Staa...
16
Yanga kurudi na kicheko nyumbani
‘Klabu’ ya Yanga yaibuka kidede baada ya kuichapa Al Merrikh ya Sudan mabao 2-0 katika Uwanja wa Pele katika mchezo wa makundi Ligi ya Mabingwa Afrika. Huku mabao ...
15
Maliha avunja ‘rekodi’ ya kupika saa 90 nyumbani
Mpishi kutoka nchini #Kenya, #MalihaMohammed amevunja ‘rekodi’ ya Dunia ya Guinness kwa kupikia nyumbani baada ya kutimiza saa 90 na dakika 15. Mpishi huyo alianza...
07
Sonko ahaidi kufanya vurugu katika uchaguzi
Kiongozi wa upinzani nchini Senegal, Ousmane Sonko, hana mpango wa kutafuta maridhiano, na Rais Macky Sall, na ameashiria kuwa anaweza kujaribu kuvuruga uchaguzi wa mwaka ujao...

Latest Post