Zimesalia siku chache tu kabla ya kuumaliuza mwaka 2024 na kuukaribisha mwaka mpya 2025. Kwenye burudani kuna matukio mengi kama ilivyo kwenye tasnia nyingine kama michezo amb...
Ikiwa ni siku moja imepita tangu mwanamuziki wa hip-hop Marekani Sean 'Diddy' Combs kutiwa nguvuni, ripoti mpya ya kilichokutwa kwenye nyumba zake yatolewa.Kwa mujibu wa waend...
Mwimbaji wa muziki nchini Marekani Maria Carey (59) amethibitisha kufiwa na mama yake Patricia pamoja na dada yake mwishoni mwa wiki iliyopita.Katika taarifa yake aliyoitoa si...
Mfanyabiashara na mkali wa Hip-hop Marekani Diddy Combs ameripotiwa kuuza jumba lake la kifahari lililopo jijini Los Angles kwa dola milioni 70 ikiwa ni sawa na Sh 185.8 bilio...
Mkali wa Hip-hop Marekani 50 Cent, aonekana kufurahishwa na video inayosambaa mitandaoni ikimuonesha ‘rapa’ Rick Ross akishambuliwa nchini Canada.
Kupitia ukurasa ...
Mkali wa Afrobeats kutoka Nigeria, #Davido amemshitaki mama watoto wake aitwaye Sophia Momodu, kwa kwa kudai huduma ya malezi iiliyopitiliza ya binti yake wa kwanza, aitwaye I...
Mwanamuziki wa Marekani Jennifer Lopez na mumewe Ben Affleck wanadaiwa kuachana baada ya kuuza nyumba yao waliyoijenga pamoja kwa dola 60 milioni.
Kwa mujibu wa tovuti ya TMZ ...
Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria ameweka wazi kuwa kitu chake cha kwanza kununua baada ya kupata pesa ya kutosha alinunua nyumba ya ndoto zake.Ayra ameyasema hayo wakati akiw...
Baada ya siku ya juzi mawakili wa mkali wa Hip-hop kutoka Marekani Diddy kuomba mahakama kufuta baadhi ya kesi kutokana na kesi hizo kuwa za uongo, kijana wa Combs, King Combs...
Marehemu muigizaji kutoka nchini Nigeria John Okafor (62) maarufu kama Mr Ibu anatarajiwa kuzikwa Juni 28, 2024.
Taarifa hiyo imetolewa na kaka mkubwa wa Mr Ibu, Sunday Okafor...
Watu kuishi katika sehemu za kawaida kama nchikavu, katika misitu na sehemu nyingine ni jambo la kawaida lakini binadamu kuishi katikati ya maji inaweza ikawa inashangaza.Kamp...
Mfanyabiashara maarufu kutoka nchini Urusi ambaye kwasasa anaishi China, Felix Demin (32) ameripotiwa kubadirisha ndege iliyostaafu kufanya shuguli zake za kusafirisha abiria ...