15
Nay wa Mitego hajafungiwa kufanya show
Baada kuzuka sintofahamu kupitia mitandao ya kijamii kuhusiana na suala la msanii wa hip-hop nchini Nay Wa Mitego kufungiwa kufanya show.Kupitia mahojiano ya na moja ya chombo...
27
Harmonize kunogesha tamasha la pili la Utamaduni la Kitaifa
Staa wa Bongo Flava, Hamornize leo Agosti 27 atatoa burudani kwenye kilele cha tamasha la pili la Utamaduni la Kitaifa linalofanyika katika Stendi ya zamani iliyopo Njombe Mji...
22
Viongozi wa kijiji wajiuzulu kisa umeme
Kutokana na serikali kushindwa kupeleka nishati ya umeme katika kijiji cha Uhambule wilaya ya Wanging'ombe mkoani Njombe Wenyekiti wa vitongoji 3 pamoja na wajumbe 7 wa Serika...
25
DC aonya wanawake kutembelea wanaume wasio wajua.
Mkuu wa wilaya ya Njombe, Kissa Kasongwa ametoa rai kwa wanawake kupunguza ujasiri wa kwenda kwa wanaume bila kujua vizuri ni mtu waina gani. Ni baada ya Juma Msemwa  mwe...
07
Zaidi ya 30% wana ugonjwa wa usubi
Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Mji wa Njombe, Dkt. Isaya Mwasubila, amesema tafiti zimebaini maambukizi makubwa ya ugonjwa wa usubi katika maeneo 4 ambayo ni Itipula 30%, Igola...
20
Akutwa uchi kanisani, Njombe
Mwanaume anayekadiriwa kuwa na umri wa zaidi ya miaka 40 anayetajwa kuwa ni mkazi wa Mkoa wa Morogoro amekutwa akiwa mtupu kwenye madhabahu ndani ya Kanisa la Anglikana, lilil...
28
Mtoto amkata baba yake mdogo sehemu za siri, Njombe
Polisi Mkoani Njombe wanamshikilia Grace Kiumbu mwenye umri wa miaka 30 Mkazi wa Kijiji cha Idindilimunyo Halmashauri ya Wilaya ya Wanging’ombe anayedaiwa kuwa ni Mgonjw...
06
Jela miaka 30 kwa kubaka, Njombe
Aloooooh! Haya matukio itafute namna ya kuyakomesha maana yamezidi kuongezea basi bwana, Mahakama ya Wilaya ya Njombe imemuhukumu Atanas Nzalalila (26) Mkazi wa Mahove Halmash...
31
Njombe wapigwa Marufuku kula kitimoto
Alooooooh! Wale wapenzi wa hii kitu kama nawaona mnavyo kwazika maana kuna baadhi ya watu hawawezi kulala bila kula nyama  ya kitimoto taarifa zilizo tufikia ni kwamba. H...
19
Wananchi waiomba Serikali kuwajengea vilabu vya pombe, Njombe
Wananchi wa Ludewa mkoani Njombe wameiomba Serikali kuwajengea vilabu kwa ajili ya pombe za kienyeji kutokana na maeneo yao kukosa huduma hiyo huku Serikali ikipoteza mapato a...

Latest Post