17
Uhusika wa Nathan kwenye The Boys ni uhalisia wa maisha yake
Katika ulimwengu wa filamu, wahusika hujulikana zaidi kwa uwezo wao wa kuigiza, lakini wakati mwingine, ukweli wa maisha yao hujitokeza kwenye filamu hizo au wengine hupatiwa ...
05
Madonna ajibu kesi ya kuchelewa kwenye matamasha yake
Mwanamuziki wa Marekani Madonna amejibu kesi iliyokuwa ikimkabili ya kuchelewa kuanza kwa matamasha yake.Kwa mujibu wa nyaraka kutoka Mahakamani zilizochapishwa na Tmz Madonna...
25
Utafiti: Watu milioni 17.7 wanatumia bangi
Kwa mujibu wa utafiti uliyofanywa na Jonathan Caulkins kutoka Chuo Kikuu cha Carnegie Mellon, umebaini kuwa matuminzi ya bangi yameongezeka nchini Marekani yakipiku matuminzi ...
11
Wachezaji 62 wafungiwa kwa kudanganya umri
Shirikisho la ‘soka’ nchini Cameroon limewafungia wachezaji 62 kujihusisha na michezo baada ya kudanganya umri akiwemo mchezaji wa ‘klabu’ ya Victoria ...
19
Mashabaiki wamshitaki Madonna
Msanii wa Pop kutoka Marekani, Madonna amefunguliwa mashitaka na mashabiki wake kutoka #NewYork baada ya kuchelewa kupanda jukwaani katika tamasha lililofanyika Disemba mwaka ...
11
Straika aliyewafunga Yanga atajwa
Kikosi cha Yanga kimerejea nchini jana ikitokea Ghana kucheza mchezo wa tatu wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Medeama, lakini kuna mastaa wawili wameona kitu kwa mshambulia...
26
Jonatha amshitaki Ex wake
Muigizaji kutoka nchini Marekani #JonathanMajors amemshitaki mpenzi wake wa zamani #GraceJabbari kwa kosa la kumpiga na kumjeruhi maeneo ya usoni na sikioni.Major aliwasilisha...
08
Binti apooza mkono kwa kupewa adhabu na mwalimu
Mwalimu Nkya kutoka shule ya msingi Miririni mkoani Arusha alimpa adhabu mwanafunzi Milcah Zakaria Mbise mwenye umri wa miaka 11 wa darasa la 4 ambayo ilimuumiza mkono. Tangu ...
01
Adaiwa kuwa na zaidi ya watoto 500
Jonathan Jacob Meijer mwenye umri wa miaka 41 raia wa Uholanzi amepigwa marufuku kusambaza mbegu zake za kiume baada ya kugundulika kuwa na watoto zaidi ya 550 duniani kupitia...

Latest Post