British Fashion Council wamemtunuku ASAP Rocky tuzo usiku wa kuamkia leo kama Mbunifu wa Kitamaduni kwenye Tuzo za Fashion Awards 2024 huko London.Tuzo ya mbunifu wa Utamaduni...
Mwanamitindo kutoka Uingereza, Naomi Campbell amepigwa marufuku kuwa mdhamini mkuu wa Shirika la misaada la ‘Fashion For Releaf’ baada ya kugundulika kuwa amekuwa ...
Mkurugenzi kampuni inayojihusisha na mitindo ya nguo za wanawake Pretty Little Thing (PLT), bilionea #UmarKamani amefunga ndoa na mwanamitindo kutoka nchini Uingereza #NadaAde...
Imedaiwa kuwa mchezaji wa klabu ya Manchester United, Marcus Rashford ameingia katika mahusiano na mwanamitindo kutoka nchini Colombia, Erica Correa baada ya hivi karibuni kuo...
Aliyekuwa mwanamitindo maarufu nchini Italia, #RobertoCavalli mwenye umri wa miaka 83 maarufu kama ‘King of leopard print’ amefariki dunia jana Jumamosi.
Cavalli a...
Mwanamitindo mwenye umri wa miaka 21 kutoka nchini Marekani #AokiLee amekuwa gumzo katika mtandao wa X siku ya Jana, baada ya picha zake kusambaa akiwa na mpenzi wake mwenye u...
Mfanyabiashara na mwanamitindo kutoka nchini Marekani Iris Apfel, ambaye anajulikana zaidi kupitia ubunifu wake wa mavazi afariki dunia akiwa na umri wa miaka 102.Taarifa ya k...
Mwanamitindo kutoka nchini #Calisah amesema kuwa hawezi kuwa na mwanamke aliyemzidi kwa kila kitu hususani katika kipato.
Akiwa katika mahojiano na mmoja ya chombo cha habari ...
Muigizaji na mwanamitindo kutoka nchini Marekani Julia Fox amefunguka kuhusu mahusiano yake ya mwezi mmoja na Kanye West akidai kuwa yalikuwa kama analea watoto wawili kwa wak...
Mwanamitindo wa zamani kutoka nchini Uingereza, #Tabby Brown amefariki dunia leo, ambapo meneja wake wa zamani amethibitisha kifo cha mwanadada.Tabby amefariki akiwa na umri w...
Mwanamitindo na mfanyabiashara ambaye pia ni mjukuu wa Hayati Mwaikibaki, Sean Andrew, amefunguka na kuweka wazi kuwa aliwahi kukataliwa kufanya tangazo kisa utanashati (uzuri...
Mwanamitindo kutoka nchini Marekani Kourtney Kardashian ameweka wazi kupitia ukurasa wake wa Instagram kuwa alifanyiwa upasuaji wa haraka kwa ajili ya kuokoa maisha ya mtoto w...
Baada ya kuzuka tetesi kuhusiana na ndoa ya muigizani na mwanamitindo Sam Asghari kuvunjika, hatimaye Sam amethibitisha na kuweka wazi kuvunjika kwa ndoa hiyo.Kupitia #InstaSt...