Mume avunja ndoa yake kisa mchepuko wa Facebook

Mume avunja ndoa yake kisa mchepuko wa Facebook

Ebanaee!!! ukiskia kivumbi na jasho ndo hii sasa, unaambiwa bwana Mume wa mtu kutoka nchini England aliye fahamika kwa jina la Stuart Slann, aliesafiri na gari kwa maili 400 akimfuata mwanamke aliekuwa akichati nae kwenye mtandao wa Facebook.

Hata hivyo alipowasili eneo la tukio shabiki huyo wa Manchester United alikuta kuwa ulikuwa ni utani ulioanzishwa na mashabiki wawili wa Liverpool aliokutana nao hali ambayo ilimfanya mpaka ndoa yake kuvunika.

Baada ya mke wake kugundua kuwa mume wake alisafiri umbali huo ili kwenda kukutana na mwanamke wa mtandaoni mwanamke huyo aliamua kuvunja ndoa yao hapo hapo.


Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post