22
Mchekeshaji Eric Omondi aachiwa huru
Baada ya mpenzi wa mchekeshaji Eric Omondi, Lynne Njihia kudai kuwa polisi wamekataa kuhusika na tukio la kumkamata Omondi, hatimaye mchekeshaji huyo ameachiwa huru.Kwa mujibu...
21
Polisi wakanusha kumshikilia Eric Omondi
Baada ya kusambaa kwa video mitandaoni ikimuonesha mchekeshaji wa Kenya, Eric Omondi akiwa amedakwa na polisi, mpenzi wa mchekeshaji huyo, Lynne Njihia amedai kuwa polisi wame...
21
Eric Omondi akamatwa tena na polisi
Mchekeshaji Eric Omondi amekamatwa tena na polisi nchini Kenya, wakati alipokuwa kwenye maandamano yanayoendelea nchini humo ya kupinga ongezeko la kodi katika Muswada wa Fedh...
18
Komasava ya Mondi yamfikia Swae Lee
Wimbo wa mwanamuziki Diamond Platnumz wa ‘Komasava’ aliomshirikisha Chley na Khalil Harrison umeendelea kuupiga mwingi na sasa umemfikia ‘rapa’ wa Mare...
15
Fred Omondi afariki dunia
Fred Omondi ambaye ni mdogo wa mchekeshaji maarufu nchini Kenya, Eric Omondi amefariki dunia baada ya kupata ajali ya kugongwa na gari.Kwa mujibu wa tovuti ya Pulse, Fred amef...
04
Eric Omondi adakwa na polisi Kenya
Mchekeshaji Eric Omondi anashikiliwa na maafisa wa usalama nchini Kenya, kwa kuongoza maandamano nje ya Jengo la Bunge.Omondi alikamatwa baada ya kuongoza Mama wauza mboga kat...
22
Hakuna kinachodumu duniani
Muziki wa sasa unaisha utamu haraka. Kama ambavyo uhusiano wa sasa unavyoisha haraka kwa wapendanao. Utandawazi umekuja na faida kubwa sambamba na ukubwa wa matatizo. Zari ali...
25
Diamonds: Zuchu anafanya wanawake wote niwaone kama dada zangu
Mwanamuziki wa #BongoFleva nchini #DiamondPlatnumz amekiri mbele ya mashabiki kuwa #Zuchu ndiye mwanamke anayesababisha wanawake wengine awaone kama dada zake.Diamond ameyasem...
12
Wema, Zari faida kwa Mondi
Pamoja na yote Wema aliondoka kwenye mbavu za Mondi, huku akimuachia msela faida nyingi zaidi, alimpa umaarufu mkubwa. Kama hiyo haitoshi akampa na Kiingereza juu, msela akaan...
26
Mondi, Blue, Jay Melody wagusa hisia za Tale
Diamond, Mr Blue na Jay Melody wamkosha Babu Tale kwenye wimbo wao mpya uitwao 'Mapozi' uliachiwa saa kumi zilizopita. Kupitia post ya Diamond kwenye mtandao wa Instagram amba...
25
Mondi na Blue wanajambo lao
Mwanamuziki wa hip-hop Mr Blue na nyota wa muziki Diamondplatnumz wanatarajia kuachia jiwe jipya leo Januari 25.Kupitia ukurasa wa Instagram wa Mondi ameweka wazi ujio wa jamb...
23
Hatimaye Eric Omondi afuchua sura ya mwanaye
Ikiwa ni siku chache zimapita tangu mchekeshaji kutoka nchini #Kenya, #EricOmondi kulipwa zaidi ya Tsh 81 milioni kufichua sura ya mtoto wake wa kike #Kyla, hatimaye ameonesha...
30
Ahmed Ally amuita Gamondi mazoezini
Msemaji wa ‘klabu’ ya #Simba, #AhmedAlly ametupa jiwe gizani baada ya kushusha ujumbe ambao baadhi ya mashabiki wametafsiri kuwa huwenda dongo hilo likawa linamlen...
18
Diamond ang’ara Tuzo za AFRIMMA
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, #DiamondPlatnumz ameibuka mshindi wa Tuzo ya African Muzik Magazine Awards (AFRIMMA) akiwa Msanii Bora wa Kiume Afrika Mashariki. Ugawaji wa t...

Latest Post