01
Diamond Kwenye Mduara Hacheki Na Wowote
Mbali na kujulikana kwa mafanikio yake makubwa katika muziki wa Bongo Fleva na kupenya hadi kwenye midundo ya Amapiano, Diamond Platnumz ameendelea kuonyesha kuwa yeye ni msan...
01
Miaka 17 Ya Beyonce, Jay Z Kama Jana
Imetimia miaka 17 tangu Jay Z, 55, na Beyonce Knowles, 43, kufunga ndoa Aprili 4, 2008, hadi sasa harusi yao ni moja ya mambo yanayojadiliwa sana kutoka katika familia hiyo ya...
01
Akon Na Mchango Wake Kwenye Afrobeat
Mwanamuziki na mwigizaji kutoka Senegal ambaye anaishi Marekani, Akon amefunguka kuhusu mchango wake katika kukuza muziki wa Afrobeat na namna ambavyo amepambana na changamoto...
30
Msanii Chemical atunukiwa Shahada ya Uzamivu PhD nchini Uingereza
Msanii wa hiphop nchini, Chemical ambaye alikuwa masomoni Uingereza amefaulu mtihani wa mahojiano wa PhD (Viva Voce) wa shahada ya Uzamivu (PhD) katika chuo cha St. Andrews nc...
30
Aliishi Kwenye Dali La Ex Wake Kwa Miaka 12
Katika tukio la kushangaza lililotokea Rock Hill, South Carolina mwaka 2012, mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Tracy aligundua kuwa mpenzi wake wa zamani (EX) alikuwa a...
30
Mfahamu Miss Ukraine aliyepambana na Urusi
Peter AkaroMiss Ukraine mwaka 2015, Anastasia Lenna mnamo Machi 2022 aligonga vichwa vya habari ulimwengu mara baada ya kuweka wazi ataingia vitani kuisaidia nchi yake dhidi y...
30
Jux Afanywa Mfano Nigeria
Mfanyabiashara wa Nigeria na rafiki wa mke wa msanii wa Bongo Fleva Jux, Chioma amewashauri wasanii nchini humo, kuweka juhudi katika utumbuizaja wanapokuwa jukwaani.Chioma am...
30
Wayne, Drake, Nicki Minaj Mtaji Tosha Kwa Birdman
Rapa nguli wa Marekani na mmiliki wa lebo ya muziki ya Cash Money Records, Birdman amesema alipata mafanikio makubwa kupitia wasanii Lil Wayne, Drake, na Nicki Minaj.Birdman a...
29
Hotuba za chuki zinavyowatesa wanachuo
Na Michael Anderson Matamshi ya chuki yanaweza kuwa maneno au vitendo vinavyoonyesha hisia za uadui, dhihaka, au kutokuwajali wengine. Yanaweza kujitokeza kwa misingi tofauti...
29
Kabla haujachora tattoo zingatia mambo haya
Tattoo ni moja ya urembo ambao hufanywa na watu wa jinsia zote yaani wanawake kwa wanaume. Lakini tattoo si tu urembo kwenye mwili, bali ni njia ya kujieleza, kusherehekea kum...
29
Jinsi Ya Kupika Makaroni Ya Nyama
Moja ya chakula rahisi kukiandaa ni Makaroni huku kikiwavutia wengi hasa watu wanaokaa wenyewe (Bachela). Licha ya chakula hicho kupendwa  na wengi lakini baadhi yao huko...
29
My Darling Yashika Namba Moja Shazam
Wimbo ‘My Darling’ wa msanii kutoka Nigeria, Chellaboi umeshika nafasi ya kwanza katika mtandao wa ‘Shazam’ na kuingia katika orodha ya ngoma zilizotaf...
29
Director Wa Wakanda Forever Aweka Historia Marekani
Mtayarishaji na mwongozaji wa filamu nchini Marekani, Ryan Coogler ambaye alipata umaarufu kupitia filamu ya ‘Wakanda Forever’ ameweka historia kuwa mtayarishaji w...
29
Jesca Magufuli: Baba Alikuwa Anamkubali Timbulo
Mtoto wa Rais wa awamu ya tano, hayati John Magufuli, Jesca Magufuli amesema enzi za uhai wa baba yake alipenda kusikiliza nyimbo za mwanamuziki Timbulo.Jesca wakati akifanya ...

Latest Post