05
Megan haoni sababu ya kupatana na Nicki Minaj
Rapa wa Marekani Megan Thee Stallion amefunguka kuwa hayupo tayari kupatanishwa na msanii mwenzake Nicki Minaj, kwani hajui chanzo cha ugomvi wao.“Mpaka leo sijui tatizo...
30
Mapya yaibuka tukio la Tory Lanez kumpiga risasi Megan
Wakati ‘rapa’ Tory Lanez akiendelea kutumikia kifungo chake baada ya kukutwa na hatia ya kumshambulia kwa bunduki aliyekuwa mpenzi wake Megani, ripoti mpya zinaele...
27
Megan athibitisha ujio wa album yake mpya
Rapper kutoka Marekani #MeganTheeStallion ametangaza ujio wa album yake mpya iitwayo ‘Megani’ inayotarajiwa kutoa siku ya kesho Ijumaa June 28, 2024. Megan amethib...
31
Mawakili Megan wakanusha tuhuma zinazomkabili msanii huyo
Timu ya wanasheria wa Megan Thee Stallion inakanusha vikali madai yaliyotolewa na mpiga picha wa zamani wa msanii huyo Emilio Garcia kuhusiana na unyanyasaji wa kihisia na maz...
24
Megan atuhumiwa kwa unyanyasaji wa kihisia
Mwanamuziki kutoka Marekani, #MeganTheeSTallion amefunguliwa mashitaka na aliyekuwa mpiga picha wake #EmilioGarcia kwa unyanyasaji wa kihisia na mazingira magumu ya kazi. Emil...
27
Drake ataka Tory aachiwe huru
Mwanamuziki kutoka nchini Canada #Drake ameonesha ‘sapoti’ yake kwa ‘rapa’ Tory Lanez akitaka aachiwe huru kutoka jela.Kupitia ukurasa wake wa Instagra...
03
Party iliyokuwa ikiwakutanisha ma-staa yahairishwa
Party iliyokuwa ikifanyika siku moja kabla ya Tuzo za #Grammy ambayo ilikuwa ikiongozwa na #Jay-Z na Roc Nation kwa lengo la kuwakutanisha ma-staa mbalimbali haitofanyika mwak...
02
Mashabiki wa Card B waivaa vita ya Megani, Nick Minaj
Baada ya mashabiki wa Nicki Minaj kutaja sehemu aliyozikwa mama mzazi wa ‘rapa’ Megan Thee Stallion, na kutishia kwenda kufukua kaburi hilo, na sasa mashabiki wa #...
31
Kaburi la Mama Megan kulindwa na polisi
Baada ya ‘rapa’ Nicki Minaj na #MeganTheeStallion kuingia katika bifu zito kuhusaina na Nicki kufanya mzaha na kaburi la mama mzazi wa Megan hatimaye inadaiwa kuwa...
28
Nicki Minaj na Megan wangia kwenye bifu zito
Nyota wa muziki kutoka nchini Marekani #NickMinaj na Megan Thee Stallion wameingia kwenye bifu zito baada ya Nicki kufanya mzaha kuhusu mama yake Megani aliyefariki miaka sita...
26
Davido, Tems na Burna Boy kuwania tuzo za NAACP
Wanamuziki wanao ipeperusha Bendera ya #Nigeria #BurnaBoy, #Davido na mwanadada #Tems, wametajwa kuwania Tuzo za #NAACP kutoka nchini #Marekani.Orodha ya wasanii na vipengele ...
13
Megan apata shavu Warner Music
Ni mwezi mmoja umepita tangu ‘rapa’ kutoka nchini Marekani Megan Thee Stallion kutemana na ‘lebo’ yake ya zamani ya ‘1501 Certified Entertainment...
28
‘Rapa’ Tory aendelea kusota gerezani, dhamana yake yagonga mwamba
Baada ya ‘timu’ ya wanasheria wa ‘rapa’ Tory Lanez kutoka Canada kupeleka ombi la kumuachia msanii huyo kw...
23
Tory Lanez na selo ya peke yake
Baada ya purukushani za ‘kesi’ ya ‘rapa’ kutoka Marekani, Tory Lanez kuisha siku kadhaa na hatimaye kupelekwa gerezani rasmi, inadaiwa kuwa mfungwa huy...

Latest Post