Mwigizaji wa Hollywood Denzel Washington amebatizwa rasmi Desemba 21, 2024 katika Kanisa la Kelly Temple of God in Christ lililopo kitongoji cha Harlem jijini New York, Mareka...
Baada ya kuzuka uvumi kupitia mitandao ya kijamii ikieleza kuwa watoto watatu wa mchezaji wa ‘timu’ ya taifa ya Nigeria, Kayode Olarenwaju kuwa siyo wake, aliyekuw...
Mchungaji wa Kanisa la Neno nchini Kenya, James Ng’ang’a amewaacha watu wengi midomo wazi baada ya kutoa onyo kwa waumini wake waliohitimu shahada ya kwanza kuwa w...
Mchungaji kutoka Nigeria na mwanzilishi wa #ShekinahArenaGospel Ministry International, #Agochukwu, amempa mwanamke mjane sadaka zote za waumini kama zawadi.
Mtumishi huyo ame...
Mwimbaji wa nyimbo za injili mkazi wa Eldoret nchini Kenya, Mchungaji William Getumbe amejikuta katika mgogoro na watumishi wenzake, huku wakimtoa kwenye kundi (group) lao la ...
Jeshi la polisi mkoani Mwanza linamshikilia Herman Magigita mwenye umri wa miaka 60 mchungaji wa kanisa la ‘Neno’ lililopo kijiji cha Chema.
Kwa kosa la kufanya sh...
Sakata la Mchungaji Paul Mackenzie raia wa Kenya limechukua sura mpya baada ya Waziri wa Usalama wa ndani nchini humo, Kithure Kindiki kusema kuwa hatoachiwa huru na bada...
Baadhi ya wahanga wa dhehebu tata linaloendesha shughuli zake katika msitu wa Shakahola katika Kaunti ya Kilifi nchini Kenya, waliuawa kwa kunyongwa, yameonyesha matokeo ya vi...
Rais William Ruto ametoa wito wa kushtakiwa kwa mchungaji Paul Mackenzie kuhusiana na vifo zaidi ya 40 vya wafuasi wake ambao aliwaagiza kufunga kula hadi kufa na miili y...
Mchungaji kutoka nchini Msumbiji amefariki dunia baada ya kufunga siku 40 akijaribu kufikia rekodi iliyofikiwa na Yesu kwenye Mlima wa Mizeituni wa Biblia.
Kifo cha mchungaji&...
Katika maeneo mengi ya kikristo duniani, kuwa na viongozi wa kike wa kanisani si jambo geni sana. Lakini mpaka sasa, nchi takatifu ambapo matukio mengi katika biblia yamewekwa...
Jeshi la Polisi huko Songwe linawashikilia Watu 3 ambao ni Mchungaji Julius Mwansimba (Baba mzazi wa marehemu) na Watoto wake, Elia na Emmanuel Mwansimba kufuatia kifo cha Ann...
Moja kati ya taarifa ambayo imewaacha watu midomo wazi ni hii hapa inayohusisha maneno aliyoyazungumza Mchungaji aliyefungisha ndoa ya Billnass pamoja na Nandy katika kanisa l...
Aiseee unaambiwa kutoka ukurasa wa Twitter wa Rapa Liluzivert ameibuka na kudai kuwa Kanye West ni Mchungaji Feki akiwa ame-tweet Ujumbe huo.
“Kanye A Fake Pastor”...