Msanii wa Bongo Fleva Treyzah ameendelea kuupiga mwingi katika muziki huku akiachia ngoma yake mpya iitwayo ‘Sitaki Tena Mapenzi’.
Ufundi wake wa kuchora nyi...
Maisha yanachangamoto zake, na siyo kila tajiri au mtu maarufu alizaliwa katika mazingira hayo. Wengi wao walianza kujitafuta chini lakini sasa wameuteka ulimwengu kwa majina ...
Leo ni siku ya kimataifa ya wanawake ambayo huadhimishwa Machi 8 ya kila mwaka duniani kote kwa lengo la kutambua haraka ambazo zinalenga kupigania usawa kujinsia, haki ya kuz...
Kawaida tasnia ya muziki inaambatana na masuala ya fasheni na mitindo. Na hii ni kutokana na mchango wa mwonekano katika katika kukuza brand ya msanii.
Hii imejionesha k...
Kama ni mfuatiliaji wa muziki wa singeli ambao asili yake ni uswahili. Ni hakika umewahi kusikia wasanii wa muziki huo na mashabiki wakijinadi kuhusu namba. Wapo wanaojitambul...
Show ya Halftime ya Super Bowl imekuwa ikifanya vizuri miaka yote, ikianza kama tukio dogo la maandamano ya kutumia bendi na kisha kuwa tamasha kubwa linalowavutia mastaa wa m...
Ukiwa ni mfuatiliaji wa mitandao ya kijamii basi fika utakuwa umeshakutana na video ya binti huyu anayefahamika kwa jina la Lydia Marley ambaye aliwavutia wadau na mastaa weng...
Kufuatia na tukio lililotokea mapema leo la kuporomoka kwa moja ya jengo Kariakoo na kusababisha maafa pamoja na majeruhi baadhi ya mastaa wametoa salamu zao pole kwa wafanyab...
Na Asma Hamis Mwaka 2024 umeleta mafanikio makubwa kwa wanamuziki wengi wa rap duniani, huku baadhi yao wakivunja rekodi za kusikilizwa zaidi kwenye mtandao wa Spotify.Wa...
Na Peter AkaroKwa miaka mingi tumekuwa tukisikiliza muziki wao na kutazama mitindo yao ya maisha lakini kuna mengi yametokea nyuma ya pazia hadi wasanii hao wa Bongo fleva kup...
Mwanamuziki anayetamba na wimbo ‘Komasava’ Diamondplatnumz anachuana na mastaa kutoka Nigeria katika tuzo za African Entertainment Awards USA (AEAUSA) zinazotaraji...
Ikiwa zimetimia siku 14 tangu mkali wa Hip Hop Sean Combs 'Diddy' kuishi katika kuta za gereza hatari zaidi Marekani la Metropolitan, kwa upande wa mastaa aliyowaacha uraini m...
Kutokana na tabia ya baadhi ya wasanii kudanganya umri na kutaja mdogo zaidi uoga wa uzee na ubaguzi unataja kuwa chanzo cha kufanya hivyo. Akizungumza na Mwananchi Scoop mwan...