Familia ya mwanamuziki wa hip hop Marekani, Diddy ikiingia Mahakamani kwa ajili ya kuomba dhamana kwa mara ya tatu.Kwa mujibu wa Fox News wanasheria wa Diddy wamepeleka tena o...
PosKampuni ya Wanamitindo ya ‘Members Only’, imefungua kesi dhidi ya kampuni ya Drake, ‘Away From Home Touring Inc’, katika mahakama ya shirikisho ya N...
Mke wa rapa kutoka Marekani Tory Lanez, Raina Chassagne anadaiwa kudai talaka, ikiwa zimebaki siku chache kutimiza mwaka mmoja katika ndoa yao waliyoifunga mwaka 2023.
Kwa muj...
Jogoo mmoja nchini Ufaransa aliyepewa jina la ‘Maurice’ aliburuzwa Mahakamani kutokana na kusababisha kelele wakati wa usiku jambo ambalo lilipelekea baadhi ya maj...
Mke wa zamani wa mwigizaji Tyrese Gibson, Norma Mitchell amemshitaki Ex wake huyo baada ya kudai kuwa Tyrese alimchafua kwa kuposti habari binafsi kuhusu yeye pamoja na binti ...
Familia ya marehemu rapa Tupac ipo kwenye mpango wa kumfungulia mashitaka mwanamuziki Drake baada ya kutumia AI (akili bandia)kutengeneza sauti ya Tupac katika ngoma yake aliy...
Baada ya kukabiliwa na mashtaka mawili moja likiwa kumshambulia mmoja wa wafanyakazi katika kundi lake la ‘ASAP Relli’ kwa bunduki, ‘rapa’ Asap Rocky a...
'Rapa’ kutoka nchini Marekani Offset na mkewe Cardi B wafikishwa mahakamani baada ya kushindwa kulipa kodi katika nyumba waliyokuwa wakiishi mwaka 2022.Kwa mujibu wa Tmz...
Baada ya mwanamuziki na muigizaji kutoka nchini Marekani Cassie kufungua kesi mahakamani kwa madai ya kunyanyaswa kingono na mkali wa ‘rapa’ Diddy hatimaye kesi hi...
Muigizaji mkongwe kutoka nchini #Marekani Arnold Schwarzenegger anatarajia kufikishwa mahakamani baada ya kusababisha ajali ya gari iliyotokea #LosAngeles Januari mwaka jana.
...
Muigizaji mkongwe kutoka nchini Marekani Arnold Schwarzenegger anatarajia kufikishwa mahakamani baada ya kumgonga na gari Mwanamama Joanne Flickinger.Kwa mujibu wa #TMZ inaele...
Mwanamitindo kutoka nchini Marekani, Blac Chyna amfikisha mahakamani baba mtoto wake Tyga, ili apate haki ya malezi ya mwanaye.
Inaelezwa kuwa tangu wawili hao watengana Blac ...
Aliyekuwa Rais wa Marekani, Donald Trump anadaiwa kuagiza chakula cha haraka maarufu kama MCDonald’s wakati wa kesi yake ya ulaghai wa dola 250 milioni, ikisikilizwa, ka...
Mwanamuziki Chris Brown anakabiliwa na mashitaka ya kushindwa kulipa mkopo wa dola 2 milioni alizokopa kwenye ‘benki’ ya City National .
Katika mashitaka hayo amba...