Lil Wayne awekwa kikaangoni na aliyekuwa mlinzi wake

Lil Wayne awekwa kikaangoni na aliyekuwa mlinzi wake

Mlinzi wa zamani wa nyumbani kwa ‘rapa’ kutoka nchini Marekani Lil Wayne, aitwaye Christian amefungua mashitaka dhidi ya ‘rapa’ huyo baada ya kumfyatulia bastola na kumpiga ngumi sikioni.

Kwa mujibu wa TMZ news imeeleza kuwa tukio hilo lilitokea Disemba 2021 ambapo Christian alidai kuwa alifanyiwa unyanyasaji wa kimwili na kufyatulia risasi aina ya AR-15 nyumbani kwa Wayne Hidden Hill, CA.

Aidha Christian amesema kuwa alitumia gharama nyingi katika kufanya matibabu ya jeraha alilopata hivyo basi amefikisha shauri hilo mahakamani kwa ajili ya kudai fidia kutoka kwa Wayne.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags