Jarida la Forbes limetoa orodha ya wasanii bora wa hip-hop wa muda wote huku jina la Kendrick likitokea kama msanii wa pili kwenye orodha hiyo.Orodha hiyo ambayo ilikuwa imesh...
‘Rapa’ 50 Cent anadai kuwa msanii Kendrick Lamar, amestahili kuchaguliwa kuongoza show ya Super Bowl Halftime inayotarajiwa kufanyika Februari mwaka 2025 jijini Ne...
‘Rapa’ Nicki Minaj ameshiriki maneno ya kutia moyo kwa mwanamuziki Lil Wayne baada ya msanii huyo kutochaguliwa kwenye onesho la ‘Super Bowl Halftime’ ...
Daftari (notebook) ya zamani ya mwananamuziki Lil Wayne aliyokuwa akiitumia kuandika nyimbo zake mbalimbali lipo sokoni kwa ajili ya kuuzwa.Kwa mujibu wa Tmz imeeleza kuwa daf...
Post ‘Rapa’ kutoka Marekani Lil Wayne na Post Malone wanatuhumiwa kuidanganya Serikali nchini humo kupitia mradi wao wa kufundisha vijana kuacha kutumia madawa ya ...
‘Rapa’ #LilWayne kufuatiwa na mahojiano yake aliyoyafanya na Podcast ya The Richard Sherman, ameweka wazi sababu zinazomfanya msanii mwenzake Drake kuchukiwa na wa...
Mlinzi wa zamani wa nyumbani kwa ‘rapa’ kutoka nchini Marekani Lil Wayne, aitwaye Christian amefungua mashitaka dhidi ya ‘rapa’ huyo baada ya kumfyatul...
Mwanamuziki kutoka nchini Marekani, #NickiMinaj amesogeza mbele tarehe ya kutoa albumu yake ya ‘Pink Friday 2’ kutoka Novemba 17 hadi Disemba 8 mwaka huu ambayo it...
Mwanamuziki wa Hi-hop kutoka nchini Marekani, #LilWayne inadaiwa kukataa muonekano wa sanamu lake ambalo lipo katika makumbusho ya #Wax mjini #Hollywood nchini humo.
Kwa mujib...
Rapper kutoka nchini Marekani #LilWayne amedai kuwa anaamini yeye ndiye sababu kubwa ya watu wengi kuwa na michoro ya tattoo kwenye nyuso zao, ameeleza hayo kupitia moja...
Baba mlezi wa wa msanii Liltunechi, Birdman amefunguka na kusema kuwa hajaona mtu wa kuweza kushindana na Lil Wayne kwenye stage ya Verzuz inayotafuta mkali wa hits.
Birdman a...