Mkali wa Hip-hop kutoka Marekani Diddy Combs ambaye amezuiliwa katika gereza la MDC Brooklyn, lililopo jijini New York ametajwa kuwa msanii aliyetafuta zaidi kwa mwaka 2024 kw...
Baada ya LeBron na mwanaye Bronny James kusainiwa katika timu moja ya mpira wa kikapu ya Lakers nchini Marekani, LeBron ametoa ufafanuzi jinsi mwanaye atakavyomuita wakiwa kwe...
Timu ya mpira wa kikapu kutoka Marekani ‘Los Angeles Lakers’ siku ya Jana Agosti 2, imezindua sanamu la marehemu nguli wa kikapu Kobe Bryant na mwanaye.Kufuatia na...
Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria Burna Boy anazidi kuweka historia katika mataifa mbalimbali ambapo usiku wa kuamkia leo amefanya show iliyo hudhuriwa na watu 80,000 katika U...
Gwiji wa mpira wa Kikapu wa Marekani, LeBron James anatarajiwa kuwa mchezaji wa kwanza kucheza ‘timu’ moja na mwanawe wa kwanza, Bronny James.Mpango huo umewezekan...
Ikiwa zimepita siku chache tuu tangu mwanamuzika wa Marekani, Justin Timberlake kukamatwa na polisi akiwa amelewa, msanii huyo ametumbuiza kwa mara ya kwanza katika tamasha la...
Mkali wa afrobeat kutoka Nigeria, Burna Boy amedai kuwa ngoma yake ijayo ndio itakuwa ngoma bora kushinda ngoma zote zilizotoka mwaka huu.
Mwanamuziki huyo ameyasema hayo kwen...
Mwigizaji na mwanamuziki wa Marekani Justin Timberlake ameripotiwa kukamatwa na polisi baada ya kukutwa anaendesha gari akiwa amelewa.
Kwa mujibu wa ABC News, ilieleza kuwa af...
Jake Paul amewajibu watu wanaosema kuwa Mike Tyson ni "mzee sana" kwa pambano lake, Akizungumza na Babcock kwenye kipindi cha TMZ Sports TV mapema wiki hii, alisema kuwa bondi...
Kwa mujibu wa utafiti uliyofanywa na ‘The British Journal of Sports’ umegundua kuwa kukaa chini zaidi ya saa 12 kunaongeza hatari ya kifo cha mapema kwa asilimia 3...
Mwanzilishi mwenza wa rekodi lebo ya ‘Death Row Records’ kutoka Marekani Suge Knight, ambaye kwa sasa anatumikia kifungo cha miaka 28 jela amedai kuwa mkali wa Hip...
Ikiwa umepita mwezi, bila mashabiki kusikia chochote kuhusiana na bifu la wasanii Drake na Kendrick Lamar, sasa inaonekana kama Drake amekubali kushindwa, baada ya kufuta maud...
Mwanamuziki kutoka Marekani Eminem ametangaza ujio wa wimbo wake mpya ambao utaachiwa siku ya Ijumaa Mei 31, 2024 alioupa jina la ‘Houdini’.Kupitia ukurasa wake wa...
Ingawa bondia wa ngumi za kulipwa Tyson Fury kashindwa pambano lake na Oleksandr Usyk lakini ameripotiwa kuwa alikuwa mshindi kifedha baada ya kuondoka na dola milioni 100 iki...