Moja ya show ambayo imekuwa ikifanya vizuri kila mwaka ni na Show ya Halftime ya Super Bowl ambayo imeonesha ukubwa wake katika ufuatilia kwenye mitandao ya kijamii huku show ...
Mwanamuziki na produza kutoka Marekani, Bruno Mars ameweka historia kuwa msanii wa kwanza kufikisha wasikilizaji milioni 150 kila mwezi kupitia mtandao wa kuuza na kusikiliza ...
Mwanamuziki na mwigizaji kutoka Marekani, Lady Gaga amelianika hadharani kundi la zamani la Facebook la chuo kikuu cha New York na kudai kuwa kundi hilo lilimwambia hatokuja k...
Ubunifu ni kati ya kitu muhimu kwa wasanii kama njia ya kuwapa utambulisho na kuwafanya waendelee kujitengenezea utofauti. Ili kuwa na utofauti wapo waliowekeza ubunifu kwenye...
Mwanamuziki maarufu nchini Marekani Lady Gaga hatoruhusiwa tena kumlipa mwanamke ambaye alirudisha mbwa wake baada ya kuibiwa mwaka 2021 ambapo pesa hiyo aliahidi kama zawadi....
Mmiliki wa label ya Def Jam Records na Mtayarishaji wa Muziki nchini Marekani, L.A. Reid amesema anajutia kumtema Lady Gaga katika label yake anasema.
“Ilikuwa ni ...