14
Mzize siyo kufunga tu, Hadi kuimba anajua
Mchezaji wa ‘klabu’ ya #Yanga #ClementMzize ameonesha kuwa siyo kupiga chenga na kufunga tuu bali hadi kuimba yuko vizuri, hii inakuja baada ya kuonekana akiimba w...
10
Man United mbioni kufunga kamera kwenye jezi za wachezaji
‘Klabu’ ya Manchester United imepanga kuwawekea wachezaji wao ‘kamera’ katika ‘jezi’ wakati wa ‘mechi’ kwa lengo la kuruhusu ma...
06
Utafiti: Kufunga kunafanya watu wawe na afya njema
Utafiti uliofanywa na Chuo cha Cambridge umeeleza kuwa kufunga mara kwa mara kunawaongezea binadamu uzalishaji wa mafuta muhimu na kusababisha kuwa na afya njema na kupunguza ...
08
Ndoa ya Gordon na Mia yapumulia mipira, Kisa kufilisika
Mume wa Mtangazaji wa Tv  kutoka nchini Marekani #MiaThornton , #GordonThornton Mwenye umri wa miaka 70 ameibuka na kumkashfu mke wake akidai kuwa alikubali kuolewa nae k...
25
Fahamu siri ushangiliaji wa Messi kunyoosha vidole angani
Imekuwa kawaida kwa mashabiki wa mpira wa miguu kuvutiwa na ushangiliaji wa baadhi ya wachezaji, kuna wakati mchezaji hupendwa na mashabiki wengi wa kila rika kutokana na aina...
15
Amchoma kisu mwanafunzi mwenzie kisa kakataa kufunga nae ndoa
Mwanaume mmoja kutoka nchini Misri aliyefahamika kwa jina la Mohamed Adel amehukumiwa adhabu ya kifo baada ya kupatikana na hatia ya kumuua kwa kukusudia Mwanafunzi mwenzake w...
02
Waliofariki Kenya kwa kufunga wengine walinyongwa
Baadhi ya wahanga wa dhehebu tata linaloendesha shughuli zake katika msitu wa Shakahola katika Kaunti ya Kilifi nchini Kenya, waliuawa kwa kunyongwa, yameonyesha matokeo ya vi...
28
Aishi na Sindano na uzi mwilini kwa miaka 11
Mwanamke mmoja kutoka nchini Colombia aliefahamika kwa jina la Maria Aderlina Forero aligundua kuwa ndani ya mwili wake kulikuwa na sindano na uzi vilivyosahaulika na madaktar...
21
Tajiri Murdoch atarajia kufunga ndoa kwa mara ya tano
Tajiri wa vyombo vya habari kutoka nchini Australia Rupert Murdoch, mwenye umri wa miaka 92, ametangaza kuchumbiana na mpenzi wake Ann Lesley Smith 66, kasisi wa zamani wa pol...
24
Nigeria kufunga mipaka siku ya uchaguzi
Uchaguzi wa rais na bunge nchini Nigeria unaripotiwa kuwa na upinzani mkali zaidi tangu utawala wa kijeshi kumalizika mwaka 1999, hivyo basi nchi hiyo imeamuru kufungwa kwa mi...
16
Mchungaji afariki alipojaribu kufunga kwa siku 40 kama Yesu
Mchungaji kutoka nchini Msumbiji amefariki dunia baada ya kufunga siku 40 akijaribu kufikia rekodi iliyofikiwa na Yesu kwenye Mlima wa Mizeituni wa Biblia. Kifo cha mchungaji&...
20
Wanaume wavutiwa na upasuaji wa kufunga uzazi, Kenya
Wanaume wengi nchini Kenya wameanza kuvutiwa na upasuaji wa kufunga mirija ya mbengu za uzazi,Vasektomi. Haya ni kwa mujibu wa Marie Stopes nchini Kenya. “Tumepokea mao...
19
Petitman Wakuache atarajia kufunga ndoa hivi karibuni
Hellow! It’s another Monday mwanangu sana. Kama kawaida yetu tunakusogezea mastori mbalimbali, basi bwana leo tumekusogezea story ya mwanakaka Petitman Wakuache ambae am...
23
Dogojanja anatarajia kufunga ndoa hivi karibuni
Oooyeeeah! I hope umeshahisabiwa mtu wangu wa nguvu, sasa bwana leo kwenye gumzo mitandaoni kutoka kwa yule Janjaro mtu mbad amefunguka na kuweka wazi kuwa anatarajia kufunga ...

Latest Post