Ikiwa leo ni siku ya kumbukizi ya kuzaliwa kwa mwanamuziki Zuchu akitimiza miaka 31 yapo mengi ambayo yamemgusa katika tasnia yake, lakini kwa kawaida mambo haya mawili tunawe...
Mkali wa Afrobeat kutoka Nigeria Burna Boy anatarajia kutoana jasho na ma-rapa wakubwa kutoka Marekani katika tuzo za BET Hip Hop za mwaka 2024.Kupitia tuzo hizo zinazotarajia...
Kwa mujibu wa utafiti uliyofanywa na Chuo Kikuu cha Cambridge umebaini kuwa ugomvi wa watoto waliofuatana unaweza kuwanufaisha hapo baadaye.Utafiti huo uligundua kwamba mabish...
Moja ya biashara ambayo imekuwa na mafanikio makubwa kama utaweka jitihada na nguvu katika kujifunza ni sanaa. Kutokana na hilo, sekta hii imekuwa ikikimbiliwa na vijana wengi...
Mwanamuziki wa Singeli, Meja Kunta, ameweka wazi mipango yake ya kufanya kazi na rapa mkongwe Rashidi Abdallah, maarufu kama Chidi Benz.
Akizungumza katika mahojiano maalumu n...
Kiwanda cha Bongo Fleva nchini kimeendelea kubadilika kila kukicha zile zama za kufanya video za nyimbo zao kwa (Madiba) Afrika Kusini hazipo tena. Kwa sasa wengi wamejikita k...
Rais wa klabu bingwa Tanzania Bara #YangaSC Mhandisi Hersi Said amempokea mgeni wake #AchrafHakimi katika Uwanja wa Kimataifa wa Kilimanjaro ‘KIA’.
Mchezaji huyu b...
Dar es Salaam. Ngoma mpya ya Diamond Platnumz, Komasava imeendelea kuteka mioyo ya mashabiki dunia na sasa supastaa wa Marekani, Chris Brown ameonekana akicheza wimbo huo kupi...
Mwanamuziki kutoka visiwa vya Barbados, #Rihanna amepata shavu katika kampuni ya ‘Christian Dior’ inayojihusisha na masuala ya utengeneza nguo na urembo kwa kuteng...
Baada ya mwanamuziki wa Marekani Chris Brown ku-share video kupitia mtandao wake wa TikTok akicheza ngoma ya ‘Komasava’ ya Diamond, msanii Zuchu amemwagia sifa Sim...
Ikiwa ni mwendelezo wa historia ya mwanamuziki mkongwe wa Bongo Fleva nchini, Rehema Chalamila maarufu Ray C kueleza sababu ya kuondoka Tanzania na kuhamia Paris, Ufaransa, sa...
Staa wa Bongofleva, Harmonize anaenda kuzindua albamu yake ya tano tangu ametoka kimuziki miaka tisa iliyopita, huku rekodi mbili kubwa zikiwa upande wake katika mradi huo ali...