Baada ya kutokea sintofahamu katika tamasha la Furaha City Festival lililofanyika Desemba 7, 2024 nchini Kenya. Mwanamuziki Harmonize ametoa onyo kwa wasanii wa Uganda.Konde a...
Baada ya kuwepo na maneno katika mitandao ya kijamii kuhusiana na mwanamuziki Harmonize kuhusishwa kutoka kimapenzi na mfanyabiashara Malaika hatimaye msanii huyo ametoa ya mo...
Na Masoud KoffieMwanamuziki Ibraah ambaye amesainiwa chini ya lebo ya Konde Gang Music Word Wide, kwa sasa tunaweza kumuita nyota wa mchezo kwenye muziki wa Bongo Fleva, hii n...
Nyota wa muziki nchini, Harmonize na Rayvanny,wametangaza ujio wa ngoma yao mpya ikiwa ni ngoma inayosubiriwa kwa hamu.
Tangazo hilo la ujio wa ngoma hiyo ya pamoja limezua gu...
Konde Boy anaonekana ana ‘bato’ na Diamond inamsaidia Konde Boy kuliko Diamondi. Kumbuka DMX na Jah Rule ‘bato’ lao lilimsaidia zaidi Jah Rule na kumtu...
Anaandika sana. Sioni mwenye uwezo huo kwa kizazi hiki. Anaandika mpaka kuandika kunamshangaa. Msikilize kwenye “Bakhressa”, “Kama Unamjua” ama rudi kw...
Wanamuziki wanawaza chapaa, mkwanja, faranga, njuruku, mapene, mawe, ukwasi, fuba na maneno yote yanayomaanisha pesa, fedha au shilingi. Wanavuja jasho kwenye kila kitu kinach...
Mwanamuziki wa #BongoFleva #Harmonize ameeleza hayupo tayari kuwa na mtoto mwingine zaidi ya mtoto wake Zulekha, Konde boy amemfananisha mwanaye huyo na mama yake mzazi....