Baada ya kutokea sintofahamu katika tamasha la Furaha City Festival lililofanyika Desemba 7, 2024 nchini Kenya. Mwanamuziki Harmonize ametoa onyo kwa wasanii wa Uganda.Konde a...
Baada ya kuwepo na maneno katika mitandao ya kijamii kuhusiana na mwanamuziki Harmonize kuhusishwa kutoka kimapenzi na mfanyabiashara Malaika hatimaye msanii huyo ametoa ya mo...
Wanamuziki maarufu wa Bongo Fleva ambao wanaushindani mkubwa katika tasnia ya muziki Diamond, Alikiba na Harmonize wanatarajiwa kuonana uso kwa uso katika sherehe ya ‘Li...
Na Masoud KoffieMwanamuziki Ibraah ambaye amesainiwa chini ya lebo ya Konde Gang Music Word Wide, kwa sasa tunaweza kumuita nyota wa mchezo kwenye muziki wa Bongo Fleva, hii n...
Baada ya kusambaa kwa picha za mwigizaji na nyota wa WWE, Dave Bautista zikimuonesha kapungua mwili tofauti na alivyokuwa awali, hatimaye mwigizaji huyo amefichua sababu za ku...
Nyota wa muziki nchini, Harmonize na Rayvanny,wametangaza ujio wa ngoma yao mpya ikiwa ni ngoma inayosubiriwa kwa hamu.
Tangazo hilo la ujio wa ngoma hiyo ya pamoja limezua gu...
Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Firauni, hivi ndivyo unaweza kusema kutokana na njia wanayotumia jamii ya Santo Tomás kutoa hasira zao na kutatua migogoro.Jamii ya San...
Waswahili husema mcheza kwao hutunzwa, hivi ndivyo lafudhi ya Kimakonde ilivyobadili maisha ya Tabu Mtingita mzaliwa wa Mtwara kuwa miongoni mwa waigizaji mahiri nchini Tanzan...
Wanamuziki kutoka nchini Nigeria, Davido pamoja na Wizkid wapo katika bifu zito, baada ya shabiki wa Wizkid katika mtandao wa X (zamani Twitter) kumuomba msanii huyo atoe ngom...
Konde Boy anaonekana ana ‘bato’ na Diamond inamsaidia Konde Boy kuliko Diamondi. Kumbuka DMX na Jah Rule ‘bato’ lao lilimsaidia zaidi Jah Rule na kumtu...
Anaandika sana. Sioni mwenye uwezo huo kwa kizazi hiki. Anaandika mpaka kuandika kunamshangaa. Msikilize kwenye “Bakhressa”, “Kama Unamjua” ama rudi kw...
Wanamuziki wanawaza chapaa, mkwanja, faranga, njuruku, mapene, mawe, ukwasi, fuba na maneno yote yanayomaanisha pesa, fedha au shilingi. Wanavuja jasho kwenye kila kitu kinach...
Mwanamuziki wa singeli #DullaMakabila ametoa shukurani kwa msanii wa bongo fleva #Harmonize baada ya #Konde kueleza kuwa wimbo wa singeli kuwa hit Tanzania ni wa #Dulla.#Harmo...